Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #41
Anaufanya 2023Utapeli wa 2011 huu , zamani sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaufanya 2023Utapeli wa 2011 huu , zamani sana
Dah......Dah, huyo mshamba amekujia kwa mbinu ya zamani sana! Nilijiwa na mbinu hiyo hyo mwaka 2013 au 2014 kama sijasahau vzuri.
Sijawah kupigwa kwenye hizi issue, na haitawahi tokeaMatura Nchi hii mpo wengi sana ndio maana wakina Kalyinda huko walipo wanafikiri waje na mguu gani mpya...
Mimi ameniambia kuna 15% yangu ya $4.5 million dollars 🤣🤣Hivi haya mambo bado yapo Tu!
Kuna kipindi nilikutana nayo mdada anasema yupo refugees camp,wazazi wake wameuwawa so anataka kuja tz na vitu kama hivyo,ana pesa mingi,Ila huyu alikuwa kajipanga kinoma akawa ananiunganisha Kwa phone na padri WA camp napiga naye mastory,akatuma na certificate ya bank, bla bla kibao lkn mwisho wa siku nikashtukia mchezo.
Ila bado kidogo niingie line Kwanza Mimi ni mtu mwenye huruma Sana kwahiyo niliguswa Sana na shida zake za camp hlf unajua mambo ya pesa bwana ni shetani Sana.
Nikajisemea hizo hela zilivyo mingi nikifanikiwa kumleta dar tunanunua mlima Kilimanjaro hahaha!
Sasa mbona hilo Tege la hovyo tuu unawasiliana na dume hapo limeweka picha ya pisi...Sijawah kupigwa kwenye hizi issue, na haitawahi tokea
Hilo nimeligundua siku ya kwanza tuSasa mbona hilo Tege la hovyo tuu unawasiliana na dume hapo limeweka picha ya pisi...
Pigo za Magharibi mwa Africa 😊
Anasema kuwa
"my Late Father died he
told me everything about his money/properties since am the only child
he has."
Hapa ukiingia kichwa kichwa unalizwa mchana kweupe 🤣Hii kitu ilitaka kuniingiza mkenge mwaka 2008.
cant imagine this 2023 bado watu wanabagazwa