Uchaguzi 2020 Kuna Mtu 'ameshaaminishwa' kabisa tayari ni Mbunge wa Kawe, ila kuna uwezekano Siku ya Matokeo 'akafa' pia

Uchaguzi 2020 Kuna Mtu 'ameshaaminishwa' kabisa tayari ni Mbunge wa Kawe, ila kuna uwezekano Siku ya Matokeo 'akafa' pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.

Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.
 
Kilio hiki pia kitakuwa hapa hapa hasa Kwa wajinga wanaoshindwa kuuacha moyo uwe huru kulingana na upepo mkali na kimbunga kinachoashiria ushindi wa kimbunga tangu kuwepo chaguzi zinazoshirikisha Vyama vingi Nchini.

Tutapoteza wapendwa wengi hapa, wanaojifanya ni maroboti wakiacha akili zao zisiwe huru kuusema ukweli.
 
Najiuliza "Mtumishi" wa Magu ndg. Gwajima atakuwa tayari Kawe inuke damu ili yeye Mbunge? Shetani huyu dah
 
Aka paue kwanza kanisa linalo vujia waumini wakati wa mvua
Hili kanisa hata banda langu la kufugia nguruwe lina ubora kuliko hilo hapo anapotumia kuwapigia hela wafuasi wake kila Jumapili
JamiiForums1844099131.jpg
 
Alisema mwenyewe kwamba ikibidi kuzimia au kufa itakuwa hivyo.
Angalia clip aliyokuwa akinshukuru Samia
 
Back
Top Bottom