Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Unakauli chafu, yaani unamtabilia mwenzio kifo kisa tuu mambo ya siasa, kumbuka kunamaisha baada ya siasa. Tuongelee maswala ya siasa habari za vifo tuweke pembeniiii.
Ila wewe naye mzito kichwani...kwani alivyoandika kufa amemanisha kifo hicho? Mie nimeelewa amemanisha kifo means kushindwa.....