Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Niliona huo mkutano na mahudhurio hafifu sana na wana CCM wakiwa na nyuso za kuchoka na anachozungumza. CCM tunaojiamini hatuyumbishwi kamwe.Kwa sera hizi nilizozisikia kutoka kwa Porn Master Gawajiboy kwamba ataleta meri ya uvuvi na kuajiri vijana wote wa kawe imenikosha sana aiseee...