Uchaguzi 2020 Kuna Mtu 'ameshaaminishwa' kabisa tayari ni Mbunge wa Kawe, ila kuna uwezekano Siku ya Matokeo 'akafa' pia

Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.

Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.

Tunajua unampenda sana Halima Mdee lakini kamwe hatoshinda kabisa turudi hapa october kupeana feedback
 
Kwa sera hizi nilizozisikia kutoka kwa Porn Master Gawajiboy kwamba ataleta meri ya uvuvi na kuajiri vijana wote wa kawe imenikosha sana aiseee...

Atazifufua meli zilizozama ??
 
Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.

Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.
Ndugu mwenye jina kama dawa ya ...., uzi wako unanipa faraja. Mimi ni a Paying member wa CCM, sik mpiga debe, tena ni mlipiaji kwa miaka zaidi ya 20 sasa.

Kwa hili la kutuwekea Gwajima kama mgombea kwa pendekezo la ikulu na la kikabila, hatulikubali na hatiliungi mkono.
Tutafurahi sana iwapo wana kawe watanfanya uamuzi wa kupinga Dhulma, ufisadi na ukabila, na kutompigia kura hata moja Gwajima.
 
Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.

Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.
Kwa niliyoyaona na kuyasikia kata ya msasani,mikocheni na kawe yenyewe nadiriki kusema mleta mada uko sahihi kabisa
 
Gwajima alishindwa ubunge Kawe nitaamni uchawi upo.
 
Sisi waislamu hatutaki hata kidogo kusikia jina la gwajima.......

Kura zote kwa Halima Mdee
 
Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.

Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.
Unakauli chafu, yaani unamtabilia mwenzio kifo kisa tuu mambo ya siasa, kumbuka kunamaisha baada ya siasa. Tuongelee maswala ya siasa habari za vifo tuweke pembeniiii.
 
Back
Top Bottom