Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Yule naamini Makonda hakumsingizia kwenye mambo ya kuuza sembe kweli, na ndo wakati ule akawa na Jeuri ya kusema atanunua Boeing na Treni😀Kuna siku aliongea akiwa jukwaani kwamba ikibidi mtu achechemee, au awe chochote, CCM inachukua jimbo.
Hapo unadhani alimaanisha nini?