Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Unakauli chafu, yaani unamtabilia mwenzio kifo kisa tuu mambo ya siasa, kumbuka kunamaisha baada ya siasa. Tuongelee maswala ya siasa habari za vifo tuweke pembeniiii.
Mbona Mimi ni muislam, lakini nitamchagua gwajima? Acha kutuongelea wote. Jisemee wewe
Unakauli chafu, yaani unamtabilia mwenzio kifo kisa tuu mambo ya siasa, kumbuka kunamaisha baada ya siasa. Tuongelee maswala ya siasa habari za vifo tuweke pembeniiii.
Ila wewe naye mzito kichwani...kwani alivyoandika kufa amemanisha kifo hicho? Mie nimeelewa amemanisha kifo means kushindwa.....
Huna lolote. Mwanzoni nilikuona wa heshima, hizi kauli zako za vifo zinakudidimiza. Hata kama mtu atakufa ila wewe sio nabiii wa kutabilia watu vifo. Ila kama wewe ni mchawi uko sahihi maana unatekereza kibarua chako.Wewe hutokufa? Mimi sitokufa? Wengine nao hawatokufa? Hata Vitabu vya Dini vinasema sana anayeogopa Kufa ni 'Mpumbavu' zaidi tu wa Kiroho.
Hakuna mwelevu wa kufuatilia wewe labda vichaaa na wavuta sigara Kali ndo mnaelewanaaa.Naendelea Kusisitiza kuwa GENTAMYCINE huwa ninaeleweka na 'Werevu' kama Wewe hapa JamiiForums ila 'Wapumbavu' kama huyo hawanielewi.
Huna lolote. Mwanzoni nilikuona wa heshima, hizi kauli zako za vifo zinakudidimiza. Hata kama mtu atakufa ila wewe sio nabiii wa kutabilia watu vifo. Ila kama wewe ni mchawi uko sahihi maana unatekereza kibarua chako.
Hakuna mwelevu wa kufuatilia wewe labda vichaaa na wavuta sigara Kali ndo mnaelewanaaa.
Mtu mzima hovyo kabisaaaa.
Aka paue kwanza kanisa linalo vujia waumini wakati wa mvua
Kuliko unavyompenda mlawiti Gwajima ?? Alikufanya kitu gani ??
Kwani aliwalawiti ndugu zako?
Mpaka kunikosoa maana yake umenielewaa. Naludia tena hakuna mwelevu wa kukufuatilia.Hakuna Kiswahili cha neno 'Mwelevu' kama uliloliandika hapa bali kuna neno sahihi ( fasaha ) la Kiswahili la 'Mwerevu' sawa? Juha Mkubwa Wewe!
Najiuliza "Mtumishi" wa Magu ndg. Gwajima atakuwa tayari Kawe inuke damu ili yeye Mbunge? Shetani huyu dah
Kwani aliwalawiti ndugu zako?
[emoji23] [emoji23] Hakuna kitu nakuchukia kama mtu kukufanya fala kama afanyavyo huyu conman aisee...Paster mfufuaji sijapata kuona coneman kama huyu paster pori.