Niliona huo mkutano na mahudhurio hafifu sana na wana CCM wakiwa na nyuso za kuchoka na anachozungumza. CCM tunaojiamini hatuyumbishwi kamwe.Kwa sera hizi nilizozisikia kutoka kwa Porn Master Gawajiboy kwamba ataleta meri ya uvuvi na kuajiri vijana wote wa kawe imenikosha sana aiseee...
Kilio na kusaga meno hapo lumumba š š š±Kilio hiki pia kitakuwa hapa hapa hasa Kwa wajinga wanaoshindwa kuuacha moyo uwe huru kulingana na upepo mkali na kimbunga kinachoashiria ushindi wa kimbunga tangu kuwepo chaguzi zinazoshirikisha Vyama vingi Nchini.
Tutapoteza wapendwa wengi hapa, wanaojifanya ni maroboti wakiacha akili zao zisiwe huru kuusema ukweli.
Wanakawe wanajitambua. Hawawezi kamwe kuchagua tapeli linalofufua misukule. Mambo ya misukule peleka chato huko 𤣠š¤£Tunajua unampenda sana Halima Mdee lakini kamwe hatoshinda kabisa turudi hapa october kupeana feedback
š š šKwani aliwalawiti ndugu zako?
Hakuna muislam juha hivo mkuu.... Alafu ww haupo kawe......Mbona Mimi ni muislam, lakini nitamchagua gwajima? Acha kutuongelea wote. Jisemee wewe
Na hao wachache walioenda ni kwa ajiri ya roll call kuonesha wapo pamoja na kuchukua tule tuposho lkn kiuhakisia hakuna wa kumpigia kura gwajipornboyNiliona huo mkutano na mahudhurio hafifu sana na wana CCM wakiwa na nyuso za kuchoka na anachozungumza. CCM tunaojiamini hatuyumbishwi kamwe.
Kwa sasa Gwajima a.k.a mla kondoo mla wafuasi wake yupo tayari kuahidi hata Bandari kawe ili mradi apate kulipora jimbo la kawe kwa njia haramu za kishetaniKwa sera hizi nilizozisikia kutoka kwa Porn Master Gawajiboy kwamba ataleta meri ya uvuvi na kuajiri vijana wote wa kawe imenikosha sana aiseee...
Haitawezekana...... Halima km Halima ni mtu na nusuKwa sasa Gwajima a.k.a mla kondoo mla wafuasi wake yupo tayari kuahidi hata Bandari kawe ili mradi apate kulipora jimbo la kawe kwa njia haramu za kishetani
Mbunge haleti maendeleo live yeye hupeleka mapendekezo Bungeni na halimashauri na wao ndiyo watekelezaji, Halima Mdee Bungeni hufanya kazi kubwa hasinzii hagongi meza hovyo hovyo kwa ndiyo kama wabunge wana kama wabunge wa CCM kuna mapungufu ya maendeleo itakuwa ni hujuma za makusudi kumkomoa zilizokuwa zikifanywa na Bashite meya na mkurugenziccm wa Kinondoni.Halima ni kuongea tu sana ila mambo ya maendeleo hamna kitu, mi huyu kubenea ndo muhuni kabisa
Halima mdee kurudi bungeni atarudi kwa uweza wa Mungu na wapiga kuraHalima harudi bungeni aisee, hata mfanyaje
Kabisaa..... Porn master for kawe and kawe for porn masterNa wewe umeaminiš¤§š¤§
Nyambafu sn wanasiasa hasa matapeli km gwajimaAtazifufua meli zilizozama ??
Kanisa litajengwa tu....Kabla hajajenga kanisa?
Nani kasema ni Kiswahili?'Meri' ndiyo Kiswahili cha wapi hiki?
Tapeli huyu hawezi yupo kuchota pesa za kondoo wakeAka paue kwanza kanisa linalo vujia waumini wakati wa mvua