Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Yule naamini Makonda hakumsingizia kwenye mambo ya kuuza sembe kweli, na ndo wakati ule akawa na Jeuri ya kusema atanunua Boeing na Treni😀Kuna siku aliongea akiwa jukwaani kwamba ikibidi mtu achechemee, au awe chochote, CCM inachukua jimbo.
Hapo unadhani alimaanisha nini?
Shiriki vita ya kupiga vita usagaji KaweAnajaribu kutudanganya wananchi wa jimbo la KAWE kwamba atanunua meli na kuajiri vijana wetu wakati ameshindwa kujenga kanisa na badala yake anatumia uwanja wa Tanganyika packers kutapeli watu .
🖕 🖕 🖕
Huenda mama yako ni mteja wa gwajiboy
Maendeleo kivipi yaani au unazungumzia zile zama za mbunge kusema nichagueni mimi nitaleta barabara au nitaleta maji ooh noo hizo zama zimepita huku kawe. Sera hizo zinaeleweka kwingine labda hukooo matembele ya pili. Mbunge hakusanyi kodi kwahiyo hatuzungumzii kabisa Halima hakuleta maendeleoHalima ni kuongea tu sana ila mambo ya maendeleo hamna kitu, mi huyu kubenea ndo muhuni kabisa
Wacheza "PONI" wanakubalika namna hii katika jamii kumbe? Maajabu haya.Halima harudi bungeni aisee, hata mfanyaje
Mueleweshe mkuu! Hata kifo cha mende nacho ni kifo vile vileIla wewe naye mzito kichwani...kwani alivyoandika kufa amemanisha kifo hicho? Mie nimeelewa amemanisha kifo means kushindwa.....
Kazi ya mbunge ni nnMaendeleo kivipi yaani au unazungumzia zile zama za mbunge kusema nichagueni mimi nitaleta barabara au nitaleta maji ooh noo hizo zama zimepita huku kawe. Sera hizo zinaeleweka kwingine labda hukooo matembele ya pili. Mbunge hakusanyi kodi kwahiyo hatuzungumzii kabisa Halima hakuleta maendeleo
Walahi haendi mbinguniHilo si banda ni mahali patakatifu pa kulia maboga ya kondoo, ndilo Askofu Gwajima anapoyakata maboga ya kondoo wake
Genta achana na hilo popoma lisilojitambuaUna uhakika kabisa tena wa 100% kuwa katika 'Uzi' wangu huu nimemzungumzia Halima Mdee unayemchukia au Josephat Gwajima umpendae tu?
Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.
Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.
Wakamuulize Mbasha alivyokuwa anamegewa mkewe bila hurumaGwajima mkimchagua kawe atawala wake zenu maana ashaanza kwenda kwenye dagaa
Tutawafanya kama alivyopendekeza Maalim kule visiwani.Gwajima japo ana viashilia vyote vya utahil lakini nadhani yeye na nyinyiemu yake wana mikakati mbadala na sio kutegemea kura za wana kawe
Swadaktaa[emoji867] [emoji867] [emoji867]
Huenda mama yako ni mteja wa gwajiboy
Chama chako kimeona kimepata dume. Lets wait and seeKama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama kawaida yao.
Kuna Mtu anadhani anachukiwa tu na Wapiga Kura wa Kawe ila 'kasahau' kuwa hata Wenzake wa Tanganyika Packers na Mwenge hawamtaki sana.