Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

Mil250 ndio unashangaa wkt kuna watu wana gari za bilioni kwenda mbele achilia mbali za mili400
 
Kweli kuna magari,mikoko na vipando.Ukimuona tena msalimie sana kwa niaba yangu mkuu.
 
Hapa waliosoma physics na maths ndio wame elewa.

Wengine wametoka Kapa...😂

Drag coefficient tu imewachanganya.
 
Nje ⁴ya mada:


Mbona hivi vi pikipiki vya umeme havina usajiri/number plate.
 
Mkuu kwa Tanzania, gari ya umeme ni kama ipi??
 
JF kuna visorokwinyo sana. Kama ungeleta uzi na kusema kuna jamaa umeona akunyanyaswa na mke wake, au amekamatika kwa mchepuko wake. Watu wangekuwa wanakupa pole humu wakidai huyu jamaa ni wewe ila unajifanya ni third part ukileta story za mwingine humu ili kupata ushauri.

Kwenye hili la Hammer, hautasikia mtu akijifanya kukupongeza akidai ni la kwako ila unajifanya ni la mtu mwingine. Sanasana kuna watakaojifanya eti ni kwanini umekuja ku post gari yake humu bila ya ruhusa yake.
 
Kwamba ukileta gari jipya 0km, utalipia port chargea na wharfage tu?
Haupo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…