othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mil250 ndio unashangaa wkt kuna watu wana gari za bilioni kwenda mbele achilia mbali za mili400Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
View attachment 3231977
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
View attachment 3231980
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua approximately Mil 100+)!
View attachment 3231982
Hummer EV ina range ya kuanzia kilometers 450 kwenda juu kutegemea na model na ukubwa wa battery.