Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

😂 maisha ya ndoa yanahitaji ujizime data kweli kweli.
 
Umemshauri jambo la kheri kwakua mie pia nimtu. Wakuwahi kurudi hom Ila naishia kufika kwenye mabanda ya kuku na mbuzi kufanya usafi nakulisha kuku siwezi kukaaa ata seblen! Hawa viumbe wanakeraa sana
Tunatamani kuingia ila tunaogopa pia..
 
Daah mimi ninayependa kurudi home saa 10 chap baada ya job, nikipata mke wa makelele itakuwaje sijui
Amin Amin nakwambia


Iko siku utaulizwa, hivi hauonagi aibu unavyorudi nyimbani mapema? Huna marafiki wa kupoteza nao muda angalau mpaka giza liingie? Mwanaume gani unawahi nyimbani kama una zamu ya kumpikia mume
 
Kwenye ndoa huwezi ukapata kila kitu,mengine unapotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…