Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Mwingine nipo nimemuacha Bar muda sio mrefu anasema wife katumia Hela yake yote kulipa kwenye kikundi alikuwa anadiwa.

Anasema wife kajieleza lkn jamaa hajamuelewa ameona aje anywe kwanza ndo arudi. Naona hata mzungu wa nne hapa haupo Kuna mmoja atalala jikoni ama sebreni
😂 maisha ya ndoa yanahitaji ujizime data kweli kweli.
 
Umemshauri jambo la kheri kwakua mie pia nimtu. Wakuwahi kurudi hom Ila naishia kufika kwenye mabanda ya kuku na mbuzi kufanya usafi nakulisha kuku siwezi kukaaa ata seblen! Hawa viumbe wanakeraa sana
Tunatamani kuingia ila tunaogopa pia..
 
FB_IMG_17264128833121476.jpg
 
Daah mimi ninayependa kurudi home saa 10 chap baada ya job, nikipata mke wa makelele itakuwaje sijui
Amin Amin nakwambia


Iko siku utaulizwa, hivi hauonagi aibu unavyorudi nyimbani mapema? Huna marafiki wa kupoteza nao muda angalau mpaka giza liingie? Mwanaume gani unawahi nyimbani kama una zamu ya kumpikia mume
 
Kwenye ndoa huwezi ukapata kila kitu,mengine unapotezea
 
Back
Top Bottom