Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

ndio ufungiwe mlango kwenye nyumba ulio ijenga mwenyeww

Mwanamke ni Wako, .... Mlainishe tu kwa Maneno matamu nyama ya Ulimi isiyokuwa na mfupa na kile kinyama cha downstair....atalainika tu.

Tumia vizuri vinyama vyako visivyokuwa na mifupa alivyokupa Mungu. Huwa ni Vitamu hakuna mwanamke ataacha kukusikiliza bro....Unakwama wapi mpaka ufungiwe mlango nyumba uliyoijenga mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…