Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

ukimaliza mfukuze usimpe ata nauli
Hamna mkuu, wanawake ukiwachukulia kama wanawake ni rahisi kuwafanyia ukatili, ila ukiwachukulia kama unavyowachukulia washikaji zako huwezi wafanyia ukatili, Sasa mtoto amekuja home na mzigo anakupa kwa moyo wote kwann ushindwe kumpa kitu kidogo kama nauli?
 
pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
Mimi nimelala mwenyewe kabisa, kwa usumbufu wa mtoto mchanga bora akalale na watoto chumbani kwao 🤣!
 
Back
Top Bottom