Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Mwanamke ni Wako, .... Mlainishe tu kwa Maneno matamu nyama ya Ulimi isiyokuwa na mfupa na kile cha downstair....atalainika tu.

Tumia vizuri vinyama vyako visivyokuwa na mifupa alivyokupa Mungu. Huwa ni Vitamu hakuna mwanamke ataacha kukusikiliza bro....Unakwama wapi mpaka ufungiwe mlango nyumba uliyoijenga mwenyewe?
wewe hatuelewani kbsa wanawake wasasa hawa wa kupaka kucha rangi
 
Asikwambie mtu...Ndoa tamu..!

Mnabanduana Kihalali..halafu mkimaliza hamjihisi kuwa Mna hatia ..yaani hamjisikii kuwa Mmezini.. !

Na kinachokuja mbele yenu kama ni Mimba mnapongezwa na inaitwa ni Baraka...dah Raha Sana...!
sawa kaka injoy ikikomaa iyo ndoa utaona chungu
 
Back
Top Bottom