Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Anapoapishwa rais awamu inabadilika , haijalishi waziri mkuu jaji mkuu au baraza la mawaziri lipo au limevunjwa.Uchaguzi wa Kubakadilisha Awamu Ulifanyika Lini?
Maana Mimi.ninachojua Magufuli alifariki Akiwa Rais wa Awaku ya Uchaguzi ya Tano na Hata alipofariki bado.serkali ilikuwa ile ile na Waziri Mkuu Bado alikuwa Huyo huyo..
Ila Ilikuwa ni Serkali ya Awamu ya Tano yenye Rais wa Sita..
Awamu Hubadilishwa Kw Uchaguzi
Mara ya kwanza alipigiwa kura mwaka gani?Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.
Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.
Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.
Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.
Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Alipochaguliwa hayati JPM 2020 kwa mara ya pili alichaguliwa pia Samia akiwa mgombea mwenza.Mara ya kwanza alipigiwa kura mwaka gani?
Baada ya JPM kuaga dunia ilibidi wakubwa serikalini waipitie katiba inasemaje kwenye mazingira mapya wakati ule, ikabidi Samia haraka aapishwe awe rais.Paragraph ya 1 ,ndo utaratibu
Sa Kwann paragraph ya mwisha ko hutaki huo utaratibu ufuatwe?
No way ,mi sio ccm lkn hapana
Wenzako wote wamesema kwa mujibu wa Sheria na kutoa vifungu na ww toa utaratibu wa kisheria unaowapinga hao wanasheria mm naamini kwamba mambo ya kitaalamu hayahitaji kubwabwaja chukua vifungu vya Sheria tupe Elimu hapa usilete vitu vya jumlajumla maana unasema: Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.SASA ww tuambie uliyehitimu Sheria vzr na sisi tuelewe tusifuate mkumbo KATIBA INASEMAJE KAKA.Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.
Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.
Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.
Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.
Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Hayo maelezo umeyatoa kwenye Msingi wa Nini? Katiba sheria au Utamaduni?Anapoapishwa rais awamu inabadilika , haijalishi waziri mkuu jaji mkuu au baraza la mawaziri lipo au limevunjwa.
Katiba inampa madaraka makubwa rais, yeye ni mkuu wa serikali ndio maana anahutubia bunge baada tu ya kuapishwa, ni amiri jeshi mkuu ndio maana analikagua jeshi baada ya kuapishwa, ni nembo ya Taifa ndio maana nyuma yake kunakuwa na mwanajeshi kila anapohutubia.
Mkuu Labda Nikuulize Unajua Maana Ya Awamu??Baada ya JPM kuaga dunia ilibidi wakubwa serikalini waipitie katiba inasemaje kwenye mazingira mapya wakati ule, ikabidi Samia haraka aapishwe awe rais.
Unapomuapisha kuwa rais mpya na awamu inabadilika na kuwa ya sita haijalishi baraza la mawaziri lipo vipi au taasisi nyingine zina mtazamo au hali gani kwa wakati ule, rais ndio mkuu wa nchi.
Uchaguzi wa kumchagua Samia ulishafanyika October 2020 akiwa mgombea mwenza wa hayati JPM aliyeaga dunia March 17 2021.
Utaratibu utafuatwa mwaka huu 2025 baada ya Samia kukaa madarakani kwa miaka minne tofauti na mitano iliyozoeleka.
Samia aliingia ikulu baada ya kiapo akifanana na mchezaji wa akiba anayechukua nafasi uwanjani pale mchezaji wa namba husika anaposhindwa kuendelea na mechi.
Awamu ya sita ilianza tarehe 19 Machi 2021 kama ulivyoeleza hapo juu ni kwa Ilani gani iliyomwongoza kutekeleza majukumu ya kuwatumikia wananchi?Awamu ya Samia ilianza tarehe 19 March 2021 siku alipoapishwa ndani ya ikulu, awamu ya tano ilimalizika sio kwa mapenzi yetu sisi wananchi bali kwa mapenzi ya Mungu alipoamua kumchukua hayati JPM.
Awamu ya Samia ilianza pale alipomaliza kula kiapo kisha akaenda kukagua gwaride akiwa na nafasi ya amiri jeshi mkuu.
Ulipompigia kura JPM moja kwa moja ulimpigia mgombea mwenza wake SSH, hili wengi wetu hatulijui pengine ni kwa bahati mbaya au kwa sababu ya kuongozwa na chuki.
Leo Samia ikitokea akaaga dunia Dr Isidory Mpango ataapishwa na kuwa rais wetu wa awamu ya saba, hii awamu ya sita itakuwa imeondoka na Samia kama ile ya tano ilivyoondoka na JPM.
Kahitimisha miaka mitano akiwa makamu ya rais, wakati anaanza kuutumikia umakamu kwa kipindi cha pili cha miaka mitano bosi wake JPM akaaga dunia na yeye akairithi nafasi yake kwa kula kiapo na kukagua gwaride akiwa na sifa ya Commander In Chief.
Hahitaji kuchaguliwa moja kwa moja na chama chake. siku ulipomchagua hayati JPM ulimchagua na yeye pia ndio maana ya running mate.
Chuki zikipungua moyoni mwako utaelewa tu nini kinachoendelea nchini mwako.
Kumbe umeumizwa na hayo maneno, pole sana mwanasheria msomi.Wenzako wote wamesema kwa mujibu wa Sheria na kutoa vifungu na ww toa utaratibu wa kisheria unaowapinga hao wanasheria mm naamini kwamba mambo ya kitaalamu hayahitaji kubwabwaja chukua vifungu vya Sheria tupe Elimu hapa usilete vitu vya jumlajumla maana unasema: Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.SASA ww tuambie uliyehitimu Sheria vzr na sisi tuelewe tusifuate mkumbo KATIBA INASEMAJE KAKA.
Mgombea anayekubalika? kuna Rais yoyote Tanzania tangu mwaka 1961 alishawahi kukubalika kwa asilimia mia moja mbele ya wananchi?.Awamu ya sita ilianza tarehe 19 Machi 2021 kama ulivyoeleza hapo juu ni kwa Ilani gani iliyomwongoza kutekeleza majukumu ya kuwatumikia wananchi?
Hujui kuwa makamu wa rais huwa ni kivuli tu kisichokuwa na athari zozote katika maamuzi wakati akiwepo kwenye kiti?
Kwanini hamjafuata taratibu mlizojiwekea wenyewe kati kupendekeza an kuteua mgombea anayekubalika na wananchi kuliko kulazimisha matakwa yenu yasio na tija?
Utanatambua kuwa wanaopiga kura ndio hawamtaki kasoro ninyi mnaokula mlungula wake?
Awamu inabadilika baada ya kiapo cha rais mpya.Mkuu Labda Nikuulize Unajua Maana Ya Awamu??
Awamu haibadilishi kwa Kuapishwa mtu inabadilika Kwa Uchaguzi soma Katiba na Sheria
Uchaguzi ulifanyika mwaka 2020 October bahati mbaya Rais aliyeapishwa akafariki dunia, sio rahisi kuurudia uchaguzi mkuu ndani ya kipindi cha miezi mitano, makamu akapiga jaramba na kukabidhiwa ofisi.Hayo maelezo umeyatoa kwenye Msingi wa Nini? Katiba sheria au Utamaduni?
Awamu Hubadilika Baada ya Kufanyika Uchaguzi..
Rejea Sheria za Terms Of presidency ikiwemo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 40 na 41 na Ukisoma Pamoja na Sura 343 Ya Sheria zetu Yaani Sheria ya Uchaguzi wa Taifa National Election Act..
Terms Au Awamu Hubadilika Kila baada ya Miaka 5 Kila baada ya Uchaguzi na Mtu mmoja Huruhusiwa Kugombea Awamu mbili za Miaka mitano mitano Na kama Ni mtu mmoja Aliyeongezwa Awamu huitwa awamu moja yenye Miaka 10..
Someni Vijana Muache Kujioelekeza Vibaya Kisheria
SS mbona huu ukweli hawautaki?Baada ya JPM kuaga dunia ilibidi wakubwa serikalini waipitie katiba inasemaje kwenye mazingira mapya wakati ule, ikabidi Samia haraka aapishwe awe rais.
Unapomuapisha kuwa rais mpya na awamu inabadilika na kuwa ya sita haijalishi baraza la mawaziri lipo vipi au taasisi nyingine zina mtazamo au hali gani kwa wakati ule, rais ndio mkuu wa nchi.
Uchaguzi wa kumchagua Samia ulishafanyika October 2020 akiwa mgombea mwenza wa hayati JPM aliyeaga dunia March 17 2021.
Utaratibu utafuatwa mwaka huu 2025 baada ya Samia kukaa madarakani kwa miaka minne tofauti na mitano iliyozoeleka.
Samia aliingia ikulu baada ya kiapo akifanana na mchezaji wa akiba anayechukua nafasi uwanjani pale mchezaji wa namba husika anaposhindwa kuendelea na mechi.
Awamu ni Tifauti na Majukumu ya Rais!Awamu inabadilika baada ya kiapo cha rais mpya.
Mkuu wa shughuli zote za kiserikali na amiri jeshi mkuu anapobadilika tambua kuwa awamu inakuwa imebadilika, haijalishi chochote kinachokuwa chini ya mamlaka yake.
Du wewe kweli chiIzi, hauchoki na maujinga yako. Unalazimisha maji kupanda mlimaAwamu inabadilika baada ya kiapo cha rais mpya.
Mkuu wa shughuli zote za kiserikali na amiri jeshi mkuu anapobadilika tambua kuwa awamu inakuwa imebadilika, haijalishi chochote kinachokuwa chini ya mamlaka yake.
Mnajichanganya. Awamu huja baada ya kiapo cha rais. Awamu ya tano iliondoka na JPM baada ya Samia kula kiapo ikaanza awamu ya sita.Awamu ni Tifauti na Majukumu ya Rais!
Mkuu changamoto niliyogundua Kwako Hujui kutofautisha Majukumu Ya Rais na Awamu Ya Utawala..
kama Unakumbukumbu au Ulikuwepo Miaka ya 80 Utakumbuka kuwa Rais Mwinyi Alikuwa Rais wa Awamu ya Tatu mara baada ya Sheikh Mwinyi aboud Jumbe Hiyo ilikuwa Mwezi januari mwaka 1984 Baada ya Nyererw Kungatuka Alimpendekeza Mwinyi kugombea Urais Tanzania na Mwinyi alipoondoka Zanzibar Uchaguzi ukafanyika Na Zanzibar wakapata Rais wa awamu Ya Nne mwaka 1984 Baada ya Mwinyi Kuondoka..
Sasa Hiyo Ndo tunaita Awamu Maana Yake ni Uchuguzi au Terms..
Awamu Sio Utawala awamu Ni terms ya Serikali baada ya Uchaguzi wa Mwaka 2020 Awamu ya 5 Kipindi cha Pili Kikaanza..
Ila Kwenye Utawala tungesema Rais Samia ni Rais wa 6 Awamu ya Tano..Na Hiyk Ndo ingemake sense Kisheria na Kikatiba..
Kijana wangu Jifunze Katiba Na Sheria uache kubisha Vitu usivyovijua
Hili jukwaa ni la kuelimishana mkuu.Du wewe kweli chiIzi, hauchoki na maujinga yako. Unalazimisha maji kupanda mlima
Ni PUMBUUtaratibu ni kwamba rais anayeutaka urais kwa mara ya kwanza ni lazima agombee na wagombea wengine, anapotaka kuanza urais wanamchukulia fomu kutimiza hitaji la kidemokrasia ndani ya CCM.
Miaka ile ya Nyerere hapakuwa na demokrasia, alisimama yeye na upande mwingine karatasi ilionyesha kivuli yaani hakuwa na upinzani, mtake msitake yeye ndio rais na kupigiwa kura ilikuwa ni kutimiza tu wajibu wa jumla jumla.
Vilipoanza vyama vingi wakaweka utaratibu kwamba miaka mitano ya urais ni lazima apingwe na wagombea wengineo na ukifika mwaka wa tano unapofanyika uchaguzi mgombea asipingwe bali huko kwenye chaguzi za wabunge na madiwani ni lazima wachukuliane fomu.
Samia hakupigiwa kura kwa sababu yeye alikuwa sehemu ya JPM mwaka 2020, alipofariki dunia ikabidi aapishwe kwa maana ni mgombea mwenzake.
Mwaka huu ndani ya CCM hakuna haja ya kumshindanisha na mwingine yoyote kwa sababu ya utaratibu ule ule uliotumika miaka ya marais waliomtangulia wakati wanamaliza ngwe ya kwanza wanaenda ya pili.
SSH ana bahati ya mtende, ya kuzaliwa.