Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

anafaa kuingia kwenye Guinness Book of Records
Joseph Guzman alisurvive baada ya kupigwa risasa 19
Kuna Dustin Theoharis alisurvive gunshot 16 baada ya kumiminiwa risasi na Polisi 2012,
kuna jamaa wa North Carolina alisurvive baada ya kumiminiwa risasi 20 mwaka 1995

Si maanishi kua ile attempt assassination ya TL haikua ya hatari.
 
Akarudi kupambana katika Uchaguzi 2020 kweli Lisu ni jasiri
 
Umeielewa post au,post inasema mtu jasiri zaidi ya lissu kutokea tanzania,hapa inazungumziwa tanzania
 
Tatizo la hayo mataifa uliyoyataja haki na sheria huamua ni tofauti na huku haki ni matamshi tuu na sheria zinapindishwa
 
Jasiri gani analialia kulala deathrow.. Mpayukaji tu huyo hana ujasiri wowote. Eti wengine wanasema alibattle na jiwe toe to toe, huyo alikimbilia ubelgiji amekuja kurudi tu awamu hii ya Samia..
Hata umchukie vipi bado huna uwezo na serikali yote ya kuweza kumfikia ujasiri aliyonao.
 
Hizi harakati ni spirit zakina malcom x, Mandela, Martin luther king jr mtu kajitoa sadaka kwa jiri yetu sisi maskini wanyonge na waoga
TAL
 
Huyo ni mwamba. Siku anapofikishwa Mahakamani furaha, afya iko palepale. Take my words 2030 he is going to be the 8th President of United Republic of Tanzania if God keeps him alive.
Mungu ata muweka hai 2030 tupo nae
 
Wapo au walikuwepo kuna watu walipigania ardhi hii lkn nyerere akawa mchoyo akajitangazia pekeyake lkn historia inahukumu pia fatilia
Wakoloni wa Tanzania hata hawakuwa makatili kihivyo kuanzia 1950's baada ya vita vya pili vya dunia.
 
Ndiyo yupo mtenda miujiza wa Yesu Pasta Tony jasiri hadi anajaza mtungi wa gas kwa kupuliza na mdomo
Mtenda miujiza Pasta Tony alikuwa kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa tena alipewa nafasi jukwaani na alimuomba Samia ampe Mwamposa kiwanja cha Kawe.
 
jasiri wa kuropoka mnyonge wa sheria mahakamani 🐒
 
Ndioooo na si mwingine bali ni Lyatonga Mrema
 
Umeielewa post au,post inasema mtu jasiri zaidi ya lissu kutokea tanzania,hapa inazungumziwa tanzania
Mimi sijaijibu post bali nimejibu niliyemquote coz ameesema kua issue ya Lisu inafaa iwekwe kwenye Guiness World Record,ndio maana nikamuwekea hayo matukio,

Uwe unajipa muda wa kuilewa kwanza comment ya mtu kabla ya kuamua kujifanya mjuaji sana.
 
Tuntemeke Sanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…