Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

Mimi namzidi sema tu amenizidi kidogo, mwamba anabalaa uyu, ngoja kwanza mashahidi wake wafike mahakama kuu , awanyooshe kwanza , ndo watajua wajukuu wa machif mfano Mkwawa wapo bado Tanganyika
 
Siongolei ku survive baada ya kupigwa risasai, watu wengi tu wame survive baada ya kupigwa risasi, hata 50cent ali survive baada ya kupigwa risasi 9. Naongelea ujasiri wa mtu asiye mhalifu akimenyana na dola lenye maguvu yote uso kwa uso bila kujificha kama hao wauza madawa ya kulevya wako.
 
Some comment 25# ndiye niliyemjibu coz yeye ameongelea kusurvive Gunshort,na akataka TL awekwe kwenye Guiness world record,

Comment yangu haikua ya kuchangia mada bali kumjibu niliyemquote,
Mbona mnakua hamna uelewa wa jambo jepesi tu?
 
Mtenda miujiza Pasta Tony alikuwa kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa tena alipewa nafasi jukwaani na alimuomba Samia ampe Mwamposa kiwanja cha Kawe.
Ikawaje?
 
Familia yake ni raia wa marekani
Anapambania urais,ni biashara ya siasa,akiwa rais ataula
 
Maajabu ya Tz, big brain iko lupango halafu form 4 failure iko ikulu inatuongoza mamilioni ya raia!!.
 
Familia yake ni raia wa marekani
Anapambania urais,ni biashara ya siasa,akiwa rais ataula
Ndio maisha yalivyo hapa tuna ongelea Ujasiri nasio masuala ya mtu kuula akisha kuwa Raisi

Tuna zungumzia Ile hali ya Ujasiri wa mtu katika mapito yake magumu katika maisha na Ile Ari ya kutokata tamaa kwake
 
Mzee anapambana na mihimili yoote na ana survive.
 
Ruto hajawahi hata kuteseka Kenya, alikuwa kijana wa KANU enzi za Moi na alipinga katiba mpya ya sasa ya Kenya.
Ruto wale ni watoto wa Baba wamepata kupenya kwa influence za wazazi
 
Daaah, aiseee🤔🤔

Hii story yako ya "ujasiri" umeisema tu nikamkumbuka Dr Ulimboka aliyepigwa mwaka 2012 na kuokotwa porini Mapwepande...

Jamaa ni mwoga balaa, tangu wakati huo jamaa maisha yake ni kuishi uvungunI, chini ya kitanda. Yote aliyokuwa anayapigania, kayaacha na kuyatupilia mbali..🤪

Siri ya kumshinda simba ni kutotishwa na ngurumo zake. Badala yake mfuate huko huko inakotokea ngurumo ya sauti yake. Simba atashangaa mno na kuanza kukimbia yeye...

Tundu Lissu ni kiumbe mwingine, sio binadamu wa kawaida huyu...
 
Hao uliowataja, ni risasi ngapi ziligusa miili yao. Je, ni zote ulizozitaja?
 
Hata umchukie vipi bado huna uwezo na serikali yote ya kuweza kumfikia ujasiri aliyonao.
Ujasiri na unanyea debe huku wafuasi wako wakibangaiza maneno tupu mitandaoni.

Ujasiri walikuwa nao akina Mandela ambao walikuwa wamejaza matumaini mioyoni mwa watu mpaka wakaamka kuipigania nchi yao mbele ya mitutu ya bunduki. Ujasiri leo hii wanao M23 wanapambana msituni na serikali na wananyakua miji na wana ushawishi kwa raia..

Sasa nyie nyumbu na Lissu wenu sijui mnaongelea ujasiri upi?
 
Ujasiri wake umeupima kwenye nini na ukimlinganisha na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…