Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

Yes, No One Can Top Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Lakini
kama swali lako linahusu kwa upande wa upinzani na siyo kwa Nchi kwa Ujumla then may be.....
Lakini Kumbuka kuwa Wantanzania wengi wa sasa ni waoga, Hata kama unapata Kiongozi Kama Lissu halafu wanachi hawamsapoti pale anapowahitaji, Itabaki kuwa story time tu.
 
Wakoloni enzi za Nyerere walikuwa na ustaarabu mkubwa sana
 
Swali lako no la kitoto nadhani u mtoto. Tundu Lissu kazaliwa baada ya Uhuru, mapinduzi matukufu ya Zanzibar alikuwa na a mizi 9, Muungano alikuwa ba mwaka mmoja. Vita vya Kagera alikuwa anamalizia Chekechea. Huo ushujaa unaongelea ni ushujaa wa nini? Hatujasikia kama kaua Simba kama Msukuma apewe utemi. Ushujaa pekee ni matusi matusi.
 
Naongela ujasiri sio ushujaa, hata makonda ni shujaa kwa baadhi ya watu wengi tu.
 
Wakoloni wa Tanzania hata hawakuwa makatili kihivyo kuanzia 1950's baada ya vita vya pili vya dunia.
Historia inahukumu watu walinyongwa machifu na vijana makaburi yao yapo acheni uvivu tembeeni mpat3 mawaidha ya baadhi ya wazee na ushaidi elekezi
 
Hata mimi sikutegemea kama Lisu anaweza kuwa jasiri kwa kiwango hiki. Yeye amekuwa ni nguzo ya wengine ndani ya cdm, na amepandisha kujiamini kwa hali ya juu kwa viongozi waliopo, na wafuasi wake kwa ujumla wake.
 
Jasiri gani analialia kulala deathrow.. Mpayukaji tu huyo hana ujasiri wowote. Eti wengine wanasema alibattle na jiwe toe to toe, huyo alikimbilia ubelgiji amekuja kurudi tu awamu hii ya Samia..
Kama huamini ni jasiri wangefungiwa chumba kimoja na jiwe, one against one ungeona nani angeliwa kiboga.
 
jasiri wa kuropoka mnyonge wa sheria mahakamani 🐒
Mahakama hizi za simu moja, ama unadhani huwa hatumuono huko mahakamani anavyojiamini? Naona unadhani unaongea na wazee wa huko kijijini kwenu, maana hao ndio hawajui lolote.
 
Ujasiri unaoutaka wewe ni upi?
Pia huo ni miongoni mwa ujasiri ambao umesababisha ccm kutoweza kujibu hoja zake na badala yake ikatumia policcm kumkamata na kumfungulia kesi ya uongo, ujasiri alionao hakuna mwanaccm yoyote anaomfikia.
 
Jiwe angemla kiboga huyo mlemavu mapema sana
Thubutu zake, alivyokuwa fisi askari kibao kwenye misafara yake, mara niombeeni. Umeona popote Lisu anajiliza aombewe? Au umemuona anazungukwa na maaskari kibao?
 
Ndio maisha yalivyo hapa tuna ongelea Ujasiri nasio masuala ya mtu kuula akisha kuwa Raisi

Tuna zungumzia Ile hali ya Ujasiri wa mtu katika mapito yake magumu katika maisha na Ile Ari ya kutokata tamaa kwake
Hujaona watu wakiamka saa tisa usiku kila siku kufukuzia dili,au majangili porini na nyara za serikali dhidi ya wanyama wakali na game!?..
 
Alikutukana lini na onesha tusi alilokutukana. Siku zote mtu akiwa mwepesi wa hoja humwona anaemzidi kuwa anatukana.
 
Km ni jasiri nini kilimkimbiza mwaka 2020 mara baada ya uchaguzi mkuu? Huo si alitoroka kupitia ubalozi wa Ujerumani na katueleza mwenyewe? Umeahasahau tayari? Siyo Samia ndiyo kamrudisha? Ukiwa mwongo jitahidi kukumbuka, huyo lofa hana ujasiri wowote alikuwa anamtest mama, ngoja atoke uone km atarudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…