Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Simple, chukua vitu vya ovyo ovyo kama manyoya ya kuku, masizi, ukipata tungiri ni vizuri zaidi. Akishafanya yake, zungushia hayo mavitu kwenye hicho kinyesi chake na weka tungiri juu yake halafu sepa.

Akirudi kuja kukata gogo akakuta hali hiyo hatofanya tena. Mshirikana nenda nae kwa akili ya kishirikina.
 
Nina dawa yake huyo.
Akinya tu dushe nene lazima lizame kwenye tigo yake chap kwa haraka.
Upo wapi mkuu??
Tukomeshe undezi huo.
 
Nimetoa tahadhari kwa watu wanaofanya hivi kutokana na masharti ya waganga.
Nani kakuambia kuwa ni ushirikina.

Mbona kikanuni ushirikina wa hivyo utakuwa hatari kwa mfanyaji wake. Maana anaacha sehemu ya DNA zake eneo la tukio. Ni kama jambazi akavamie mahali ili aache kitambulisho kwa makusudi HAILETI MANTIKI!?🤯

Tafuta sababu nyingine kama bifu au mengineyo ila uchawi hapana. Utakuwa uchawi wa kiboya sana. Maana kulogwa back ni sekunde tu, too risky of a strategy.
 
Simple, chukua vitu vya ovyo ovyo kama manyoya ya kuku, masizi, ukipata tungiri ni vizuri zaidi. Akishafanya yake, zungushia hayo mavitu kwenye hivyo kinyesi chake na weka tungiri juu yake halafu sepa.

Akirudi kuja kukata gogo akakuta hali hiyo hatofanya tena. Mshirikane nenda nae kwa akili ya kishirikina.



Mimi sitomtisha Ila ntampoteza

Maana kajichanganya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom