Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Yaani mtu akojoe kwenye ukuta wako leo na kesho na kesho tena wewe unaishia kunusa mikojo tu?

Mvizie umnase, vinginevyo ni wewe unapombeka na kukojoa hapo.
 
Kila siku, ni Kwa muda gani?Nawe kwa muda wote huo umeshindwa Kufanya utafiti wa kumtambua na kumchukulia hatua?
 
Umeme haupiti kwenye kimba? Unaweza ukajaribu hiyo njia.
 
Mkuu,hiyo ni KESI ya mauji fanya mpango apatikane akiwa hai na akili timamu ,vyoo vipo inakuwaje kwenye engo,kimsingi akikukuta anaweza akakuua
 
Back
Top Bottom