Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.

Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Hahaaaaaa !
Utapoteza kama wasiojulikana au sio Braza ?
Acha mikwara blaZa
Na jioni nakuja kunya tena ,mpaka usemeee
 
Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.

Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Wewe ni bwege tu mambo ya mtaani unatuletea humu?kumbe unamjua kamueleze mwenyewe acha ushamba?
 
Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.

Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Anayeloga hasemi. Mkwara kwa mtu ambaye hajui namkoromea maana yake unaogopa. Utasikia, nitakupigia, nitakupigia, wewe ulipiga chafya tu huyo, anakimbia na kupiga kelele, jamani ananiua
 
Mwambie aache kufanya hivyo,maana unaweza kukuta ni mtu anakujaribu tu.
 
Sijamuona LIVE Ila naenda kutoa taarifa kupitia Majirani wote.

Hatua inayofuata akirudia namvimbisha makalio

Mimi ndo sangatiti
Weka basi picha kidogo tuone Mavi,tunaamini vipi? Ila sitakunya tena kwako mkuu.
 
Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.

Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Je una uhakika usiotia shaka kwamba ni yeye?

Wasije wafitini wakawachonganisha unayemhisi akawa siye.
 
Uchirikina mbaya sana huo utaikimbia nyumba bila kutaka kwa kuuza au kwa kutokomea kusiko julikana
Mimi mwenyewe jirani yangu simwelewi kabisa,tumepakana na ukuta.

Kuna siku tumekuta mavi ya binadamu upande wangu,yani yalionekana yamerushwa kutoka upande wa pili.

Nilimfata hadi leo alikana kuwa sio yeye,na kuhusu ushirikina huwa anajisifia kuwa yeye hakuna anaemuweza.
 
Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.

Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Hujafafanua vizuri Yaani anajisaidia haja ipi kubwa au ndogo? Yaani namaanisha anakunya kabisa au anakojoa tu?
 
Lkn angalia pia yasije kuwa mavi yako yanachotwa kimazingara halaf yanawekwa hapo na utapoamua kudeal nayo bas jua pia ndo mwisho wako
 
Weka sensor light akikaribia anaona taa inawaka akiondoka inazima kwa nini usikeshe nae usiku ukaweka maji machafu ukatia muwasho wakati anafanya shughuli zake ukamwagia lkn iwe juu ya paa .
 
Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.

Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Muache aendelee kujisaidia jifanye kama humjui. Siku asipokunya unamfata kwake unamuuliza mbona leo hujaja kunya unaumwa!!?? Nimekuja kukuona. Utakuwa umempa shule nzito sana
 
Back
Top Bottom