God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Mripoti kwa uongozi wa mtaa unapoishi au kituo cha Polisi,Wakuu , kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.
Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana .
Sijamuona LIVE Ila naenda kutoa taarifa kupitia Majirani wote.Mripoti kwa uongozi wa mtaa unapoishi au kituo cha Polisi,
Huo ni uchafuzi wa mazingira na pia ni hatari kwa Afya za wakazi wa eneo hilo.
Yupo hapa jf tuwaambie mods walau wampige ban??
AhaaaYupo hapa jf tuwaambie mods walau wampige ban??
Swali la kujiuliza ni kwamba,kwanini pembeni ya Nyumba yako? kwanini sio kwa wengine? kwanini hahami eneo la kujisaidia?Mkuu -hii inatokana na WATU Ku practice ushirikina.
Labda ikifika usiku hapo kwako panakua ni eneo lilijificha hivyo ni mahala pazuri mtu kushusha kimba.Mkuu -hii inatokana na WATU Ku practice ushirikina.
Swali la kujiuliza ni kwamba,kwanini pembeni ya Nyumba yako? kwanini sio kwa wengine? kwanini hahami eneo la kujisaidia?
Muwekee mtego umkamate kisha mlazimishe ayazoe kwa mikono yake kisha ayaweke mfukoni.
Mara pap, kumbe ni kada mtiifu Lucas Mwashambwa , unamkuta na shati lake la CCM kachutama anashusha mzigo.Yupo hapa jf tuwaambie mods walau wampige ban??
Ushirikina huoWakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu.
Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
Nani kakuambia kuwa ni ushirikina.Nimetoa tahadhari kwa watu wanaofanya hivi kutokana na masharti ya waganga.
Simple, chukua vitu vya ovyo ovyo kama manyoya ya kuku, masizi, ukipata tungiri ni vizuri zaidi. Akishafanya yake, zungushia hayo mavitu kwenye hivyo kinyesi chake na weka tungiri juu yake halafu sepa.
Akirudi kuja kukata gogo akakuta hali hiyo hatofanya tena. Mshirikane nenda nae kwa akili ya kishirikina.