Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

Yaani mtu akojoe kwenye ukuta wako leo na kesho na kesho tena wewe unaishia kunusa mikojo tu?

Mvizie umnase, vinginevyo ni wewe unapombeka na kukojoa hapo.
 
Chukua hayo mavi kayatie kwenye kichuguu.
Hakikisha yameingia ndani na kuliwa na mchwa ili hata akija kukuomba msamaha iwe vigumu kwako kwenda kuyatoa.
Atakua anajinyea popote akiwa Hana habari.
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Kila siku, ni Kwa muda gani?Nawe kwa muda wote huo umeshindwa Kufanya utafiti wa kumtambua na kumchukulia hatua?
 
Umeme haupiti kwenye kimba? Unaweza ukajaribu hiyo njia.
 
Mkuu,hiyo ni KESI ya mauji fanya mpango apatikane akiwa hai na akili timamu ,vyoo vipo inakuwaje kwenye engo,kimsingi akikukuta anaweza akakuua
 
Weka camera alafu ukipata hiyo clip tuwekee hapa tuone mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…