Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

Habari Wadau.
Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake??
Naona labda wanajibu kila mmoja kwa. Muda wake.
 
Jana Rafiki yangu aliamka anakutana na email ya kuambiwa rufaa yake imetiki, kwamba kulikuwa na makosa wakati wa kukopi matokeo kutoka kwenye karatasi yake ya mtihani kuingiza kwenye mfumo, hivyo alipata 80 badala ya 74. Internal affairs officer
 
Wow hongera zake, kumbe rufaa zinafanyiwa kazi, safi kama angekata tamaa asiappeal ndiyo ingekua imeisha hiyo
 
Habari Wadau.
Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake??

Rufaa bongolendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…