EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Anamaansha kila mla cha mwenzake na chake huliwaUnataka kutuaminisha nini?
Hivi unajionaje ukiwa una mahusiano na mwanamke star?Acheni usenge wenu ingekuwa mtu anakuwa tajiri kwa kufirwa basi hizi benzi za wafirwaji zingejaa Tanzania nzima,yaani mtu aendeshe magari makali kwa kufirwa,hata kama anapigwa miti lakini huwezi husianisha mali zake kwa kupigwa miti
Kiuhalisia mimi kuamini ukwasi wa msanii kwa kuangalia gari anazomiliki ama mali flani huwa nakosa uhakika... haswa hawa wasanii wa Tanzania.Wabongo wengine unaweza kuwapa pressure hata kwa gari la kukodi, hata kwa Maybach la Mchina.
Na mimi nimeangalia nikaona hakuna Maybach G-Wagon ya 2023.
Watu wengi wana status anxiety sana Bongo.
Yani G-Wagon limepata umaarufu kwa sababu ya uzito wake wafanyabiashara wa Marekani wameweza kulinunua na kupata faida kwa kuli claim kwenye tax returns kama gari la kazi, halafu anakuja Mndengereko naye anaiga kwa sababu kaliona kwenye music video bila kuelewa kwa nini gari jili ni maarufu, bila kuelewa kuwa wale wenzake Marekani gari linawalipa, TRA yao inawalipa kwa kutumia gari hili kama la kazi kwa sababu limepita uzito fulani, na yeye akilifakamia kwa fuel economy ya 17 miles per galon, bika kuweza kupata tax return kutoka TRA, na sisi tunamuonea wivu anaendesha G-Wagon kwa Status Anxiety.
That is second hand Status Anxiety.
Ni kama mtu ambaye havuti sigara, lakini anapata saratani kwa kukaa karibu na mtu anayevuta sigara yeye anapata moshi tu πππ
Registration inasoma jina lake?Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Mi naweza pishana nayo wala nisigeuke kwa sababu hainivutiiKuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Wabongo wengi unawachota hata kwa Maybach la North Korea, maana la Mchina afadhali.Alafu mbona kama facelift
Anarubuniwa na nani wanaume wenzake ili wamfiree au?,sijakuelewaHivi unajionaje ukiwa una mahusiano na mwanamke star?
Ndy hata Kwa wanaume pia,,star anarubuniwa hadi anaingia kingi...
sio tako. Bali ni kule kukubali kuingia katika mfumo wa devil worshipping. Na sharti mmojawapo la kumuabudu shetani ni pamoja na hilo la kubwatuliwa. Ni masharti ya ibada za gizaniHiyo sio gari ya kumiliki eti kisa wewe ni shoga. Hakuna tako la kukupa hiyo pesa hata uligawe miaka 1000
Gari gani ikipita unageuka?Mi naweza pishana nayo wala nisigeuke kwa sababu hainivutii
MmmhhhKuna siku nilimuona live, nikasema hebu nijiridhishe tembea yake, nikabaini hata tembea yake ni kama gari linatembea limevunjika Center Bolt.
Huyu mwanaume amebakisha kende tu.
Astaghifilullah!Mswalie mtume Muhammad (SAW)!Dimpos ubwabwa tuu, wahuni wengi apa mjini tumemshonaa yaani tumemkamiaa..
Wanawake wenyewe wanatoa mbele na nyuma na hawapewi.Hiyo sio gari ya kumiliki eti kisa wewe ni shoga. Hakuna tako la kukupa hiyo pesa hata uligawe miaka 1000
Saaa hela zake maisha yake yani asifanye starehe kisa wabongo watasema...duu sasa kuna haja gani ya kutafuta hela..acha afurahie maisha yakeUkitaka kuishi na wabongo bila kelele, usionyeshe kama unapesa au mafanikio. Kuwa low key, kula bata kimya kimya wasijue, hakuna haja ya kuonyesha lavish lifestyle, jifiche, ficha pesa. Kinyume na hapo wabongo, watakupa kila aina ya kashfa.
Huyu dogo hajajua kuishi na wabongo, wabongo hawataki hizo za kuwaonyesha kama una vitu.
πππHata mgawe makalio familia nzima kama sio ukoo, hamuwezi kuchangusha 2.3B.
Haswaaa,Wakati mwingine Busara ni kuacha mambo yaende tu, haisaidii kumchunguza sana mtu nini anamiliki.
Kama anamiliki vitu vya thamani kwa sababu ya kujihusisha na vitendo vya Ushoga tu basi watu wengi wangefanya hivyo vitendo. Ili nao wamiliki vitu vya thamani
Mimi nimewaambia kule twitter live wanipeleke kwa mtu anayetoa millioni mbili tu namwachia kitoboπππ
Ukitaka kuishi na wabongo bila kelele, usionyeshe kama unapesa au mafanikio. Kuwa low key, kula bata kimya kimya wasijue, hakuna haja ya kuonyesha lavish lifestyle, jifiche, ficha pesa. Kinyume na hapo wabongo, watakupa kila aina ya kashfa.
Huyu dogo hajajua kuishi na wabongo, wabongo hawataki hizo za kuwaonyesha kama una vitu.
πππ sema wewe wizzo,Kama vinyeo vingekuwa vinatoa hela basi BICHWA KOMWE angekuwa Bilionea.
Kwa bahati mbaya sana vinyeo vinatoa mavi tu.