Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

Mimi nimewaambia kule twitter live wanipeleke kwa mtu anayetoa millioni mbili tu namwachia kitobo
Watu wanaodhani kuwa shoga ni kupata ela akili zao zinakuaga mbovu kuliko mashoga wenyewe
Kabisaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo gari sio lake Ommy ni katola nalo huko kaja kuzuzuria akimaliza anarudisha.

Alikuaga na ile Range, kaendesha wee baadae si ikarudishwa kwa Joo, tena alikua katoka kuporwa hudda, ndio kapewa yeye. Lol.
 
Halafu mkome kuipa promo hii tabia ya uchoko...yani mnataka kuiaminisha jamii kwamba hela kwa vijana haiwezi kupatikana bila kuliwa nyuma...hii ni tabia mbaya sana aisee..mnaharibu mindsets za vijana wengi ikiwemo na watoto wenu wa kiume kesho au keshokutwa wanakuta maandiko yenu majukwaani mkikaza shingo kuwa hawezi kupata hela lazima analiwa...ulikuwepoo??

..
 
Sahivi sio wanawake wala wanaume ukiwa na pesa basi umetoa kinyeo.
Lol
 
Wakati nakua, when I was about 14-15, nilikuwa na tabia ya kupitia bookshelf ya nyumbani. Kulikuwa na vitabu fulani vya management na business baba yangu alikuwa anapenda kusoma, nikawa navipitia vile rahisi rahisi zaidi.

Kimoja kilinivutia kilikuwa kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive: Outsell, Outmanage, Outmotivate and Outnegotiate Your Competition".



Kitabu hiki cha Mmarekani Harvey Mackay kilinivutia sana kwa sababu kilikuwa kinaenda straight to the point kikielezea mambo makubwa, kwa maneno machache sana, kimantiki sana.

Moja ya somo kubwa nililojifunza mpaka leo nakumbuka, bwana Mackay alifundisha somo kuwa, gari kwa kiasi kikubwa ni liability inayopungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba ni asset inayopanda thamani muda unavyopita. Akasema nunua magari yasiyo na thamani kubwa sana, lakini nyumba za thamani kubwa. Sababu yake ilikuwa gari mostly ni liability, linapungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba inapanda thamani.

Sasa baada ya kuelewa somo hilo tangu nikiwa na miaka hiyo, nikiona watu wanashobokea magari kama utajiri nashangaa.

Naam, kuna watu wanapenda magari kwa sababu ya performance, legacy, etc. Mimi pia naendesha German cars BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic. Lakini si kwa showoff wala Status Anxiety. Sioni kuwa gari ni utajiri. Haya yapo kwenye uwezo wangu, napenda the features, pia haya ni magari nayajua yalikuwapo nyumbani tangu nakua, siigi kwa kuona kwenye music video.

Ila wabongo wengi wana ulimbukeni wa kuona gari ni utajiri bado.
 
Hujafa hujaumbika jamaa anapitia dhihaka kubwa sana na hata ushahidi hakuna jamaa ana inshue zake kwanza hata akiuza mwili hawezi kupewa hiyo Chuma labda upeleke Madawa ya kulevya Dubai, south Africa, china hapo ndipo Pana pesa hiyo
 
Hilo gari sio lake Ommy ni katola nalo huko kaja kuzuzuria akimaliza anarudisha.

Alikuaga na ile Range, kaendesha wee baadae si ikarudishwa kwa Joo, tena alikua katoka kuporwa hudda, ndio kapewa yeye. Lol.
hahahahaha,aisee,
 
sio tako. Bali ni kule kukubali kuingia katika mfumo wa devil worshipping. Na sharti mmojawapo la kumuabudu shetani ni pamoja na hilo la kubwatuliwa. Ni masharti ya ibada za gizani
Mkuu,

Kwa hiyo unaamini kabisa kuwa hakuna namna ya kumiliki hilo gari bila ya kuwa devil worshipper, whatever that is?

Kwanza unahakikishaje hiyo gari ni G-Wagon ya ukweli na si ya kuungaunga tu maana siku hizi wajanja wengi?

Pili, unajuaje ni gari lake na hajaazima au kukodi tu?

Maana msije kutunga hadithi nyiingi za ajabu wakati msingi mzima wa hadithi, kwamba hili ni G-Wagon la ukweli, ni uongo.

Tumeambiwa hili ni Mercedes Benz Maybach G-Wagon la 2023.

Wakati hakuna Mercedes Benz Maybach G-Wagon la 2023.
 
Kuna siku nilimuona live, nikasema hebu nijiridhishe tembea yake, nikabaini hata tembea yake ni kama gari linatembea limevunjika Center Bolt.

Huyu mwanaume amebakisha kende tu.
Punguza saut mkuu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…