Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
-
- #81
π―π―ππ½ππ½β βWengi wanaotetea wame left group
Wakati nakua, when I was about 14-15, nilikuwa na tabia ya kupitia bookshelf ya nyumbani. Kulikuwa na vitabu fulani vya management na business baba yangu alikuwa anapenda kusoma, nikawa navipitia vile rahisi rahisi zaidi.
Kimoja kilinivutia kilikuwa kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive: Outsell, Outmanage, Outmotivate and Outnegotiate Your Competition".
View attachment 3675089
Kitabu hiki cha Mmarekani Harvey Mackay kilinivutia sana kwa sababu kilikuwa kinaenda straight to the point kikielezea mambo makubwa, kwa maneno machache sana, kimantiki sana.
Moja ya somo kubwa nililojifunza mpaka leo nakumbuka, bwana Mackay alifundisha somo kuwa, gari kwa kiasi kikubwa ni liability inayopungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba ni asset inayopanda thamani muda unavyopita. Akasema nunua magari yasiyo na thamani kubwa sana, lakini nyumba za thamani kubwa. Sababu yake ilikuwa gari mostly ni liability, linapungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba inapanda thamani.
Sasa baada ya kuelewa somo hilo tangu nikiwa na miaka hiyo, nikiona watu wanashobokea magari kama utajiri nashangaa.
Naam, kuna watu wanapenda magari kwa sababu ya performance, legacy, etc. Mimi pia naendesha German cars BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic. Lakini si kwa showoff wala Status Anxiety. Sioni kuwa gari ni utajiri. Haya yapo kwenye uwezo wangu, napenda the features, pia haya ni magari nayajua yalikuwapo nyumbani tangu nakua, siigi kwa kuona kwenye music video.
Ila wabongo wengi wana ulimbukeni wa kuona gari ni utajiri bado.
Kwahyo mqundu wake unamlipa?Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Kwa hiyo anaemgonga anahonga mabilioni?..pambaneni wasccenge nyinyi,kazi kufuata upuuzi wa mange na dudubaya tuKuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Umefunga mjadala!Wanawake wenyewe wanatoa mbele na nyuma na hawapewi.
Lol
Ndo amiliki ndinga la 2.3B mkuu?Mnataka kusema ni kweli anapakuliwa?
La NK kwa Kim jr πWabongo wengi unawachota hata kwa Maybach la North Korea, maana la Mchina afadhali.
Wengi wakipewa story tu wanaibugia.
Mfano, hakuna Maybach G-Wagon la mwaka 2023.
Lakini, wanaoweza kuhoji hilo ni wachache sana.
La NK kwa Kim jr π
Linda mgongo wakoUnataka kutuaminisha nini?
π€£π€£Lamda karoga kwao kauwa ndugu?
Em fuatilieni kwenye familia yake miaka hii ya karibuni hakujatokea msiba wa ndugu yake kweli?tujise tukamlaumu bure!
Chombo ya GSM hiyoKuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Hap Bongo kama sio Tajiri umiliki gari? Thubutu kwenye hili nakupinga, tunaishi maisha magumu Sana, Uwezo wa kumiliki hadi umiliki gari ya Tsh 30m ni mtiti na wengi angalau ni wale wa mifumo ya uchelushaji ila Sisi machinga ni kazi sanaWakati nakua, when I was about 14-15, nilikuwa na tabia ya kupitia bookshelf ya nyumbani. Kulikuwa na vitabu fulani vya management na business baba yangu alikuwa anapenda kusoma, nikawa navipitia vile rahisi rahisi zaidi.
Kimoja kilinivutia kilikuwa kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive: Outsell, Outmanage, Outmotivate and Outnegotiate Your Competition".
View attachment 3675089
Kitabu hiki cha Mmarekani Harvey Mackay kilinivutia sana kwa sababu kilikuwa kinaenda straight to the point kikielezea mambo makubwa, kwa maneno machache sana, kimantiki sana.
Moja ya somo kubwa nililojifunza mpaka leo nakumbuka, bwana Mackay alifundisha somo kuwa, gari kwa kiasi kikubwa ni liability inayopungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba ni asset inayopanda thamani muda unavyopita. Akasema nunua magari yasiyo na thamani kubwa sana, lakini nyumba za thamani kubwa. Sababu yake ilikuwa gari mostly ni liability, linapungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba inapanda thamani.
Sasa baada ya kuelewa somo hilo tangu nikiwa na miaka hiyo, nikiona watu wanashobokea magari kama utajiri nashangaa.
Naam, kuna watu wanapenda magari kwa sababu ya performance, legacy, etc. Mimi pia naendesha German cars BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic. Lakini si kwa showoff wala Status Anxiety. Sioni kuwa gari ni utajiri. Haya yapo kwenye uwezo wangu, napenda the features, pia haya ni magari nayajua yalikuwapo nyumbani tangu nakua, siigi kwa kuona kwenye music video.
Ila wabongo wengi wana ulimbukeni wa kuona gari ni utajiri bado.
hataki kuoa wala kuzaaKuipinga hii mada, inabidi mke wake au mpenzi wake wa kike ajitokeze kumtetea; vinginevyo sisi kwa sisi tutapingana na walio left group.
Hap Bongo kama sio Tajiri umiliki gari? Thubutu kwenye hili nakupinga, tunaishi maisha magumu Sana, Uwezo wa kuzaa hadi umiliki gari ya Tsh 30m ni mtiti na wengi angalau mi wale wa mifumo ya uchelushaji ila Sisi machinga ni kazi sana
Jamaa unajua kitu aibisha, Sawa Bwana lakini sote si tunaishi?Haya matatizo ya shallowness, wanton celebrity worship, chasing shiny objects, ni matatizo ya kukosa elimu, matatizo ya umasikini, ni matatizo ya Status Anxiety. Ni ulimbukeni.
Coca kwa nn hutaki watu walinde migongo Yao?Sahivi sio wanawake wala wanaume ukiwa na pesa basi umetoa kinyeo.
Lol
Jamaa unajua kitu aibisha, Sawa Bwana lakini sote si tunaishi?