Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sana kuna na wahaya ila nililiona hili kwa wachache. Huyo jamaa anapenda masifa yeye mda wote ni kuongea na kujisifia na ile lafudhi yakeYani unabaki kumshangaa wanatumia nguvu kubwa ya taya katika kuongea
Manyara wengi wao Kiswahili awajuiManyara hapana kwakweli upande wangu.Wote tulioanza kuongea lugha zetu za asili ndiyo tukaja kufahamu kiswahili,tuna mtihani mkubwa upande wa lafudhi.
Upo sahihi kabisa,hivi wanasikilizana pia mfano wamburu na wameru wakiongea?Manyara na Arusha hawana tofauti kabisa kuanzia maisha lafudhi hata fursa,
Mweee njombaaBila kusahau Wanyaki na Waluguru
Kwakweli Kagera kwa lafudhi nibaya na inakera zaidi ukikutana na much know halafu aongee kiswanglish, inatia hasira sanaSana kuna na wahaya ila nililiona hili kwa wachache. Huyo jamaa anapenda masifa yeye mda wote ni kuongea na kujisifia na ile lafudhi yake
Ndiyo maana mtu wa hivyo akija kufahamu kuongea kiswahili lazima kiathiriwe na lugha mama.Manyara wengi wao Kiswahili awajui
Wakubwa lkn kuongea Kiswahili chenga
Kule ni kiiraq tu Sio shulen co mtaan co bar..
Sina uhakika kama wanasikilizana ila wanafanana mambo mengi sanaUpo sahihi kabisa,hivi wanasikilizana pia mfano wamburu na wameru wakiongea?
😂 hao watakua warombo, ukikutana na wale wa ndani ndani huko alafu awe muongeaji sana unaweza ukacheka.Hata wachagga sijui wa wapi wale,huwa wanaongea kwa speed na wakiwa serious,kwa usiye elewa wanachoongea unajua hapa zitapigwa muda si mrefu,gafla unawaona wanaangua kicheko.Kumbe wanapiga story tu.
Kwa Afrika nigeria wanaongea vibaya mno,, yani nawaonaga kama wachafu sana hao watuLafudhi mbaya Afrika kwa mademu.
1. Wakurya
2. Wachaga
3.Wahaya
4. Wamakonde na kusini yote
5. Kikuyu
6. Nijeria
Lafuzi zenye mzuka Afrika
1. Mabinti wa Tanga
2. Sukuma girls
3.Rwanda qeens
4
Waha nao lafudhi yao inakirihisha😂 hao watakua warombo, ukikutana na wale wa ndani ndani huko alafu awe muongeaji sana unaweza ukacheka.
Leo kuna madogo waha walikuja dukani walivyokua wanaongea kiswahili na lafudhi yao nusura nicheke.
Yuko mmoja..Kiswahili chake unaeza Cheka,anakwambia "nimekula ugali na nyama yake" kumbe anamaanisha amekula ugali na nyama[emoji856][emoji856]Ndiyo maana mtu wa hivyo akija kufahamu kuongea kiswahili lazima kiathiriwe na lugha mama.
Mbona dr.isaack huwa sisikii lafudhi yake,kwan ni mtu wa wapi
Kwa Afrika nigeria wanaongea vibaya mno,, yani nawaonaga kama wachafu sana hao watu
Hahaha mtafika mbinguni mmechoka😀Kinachonifanya lafudhi ya Kihaya inikate stimu ni kipindi hicho nanunua malaya wa Kihaya enzi hizo.
Sasa lile swali lao bado haujakojoa katika lafudhi ya Kihaya ilikuwa inanikera mpaka leo hiyo kauli iko kichwani kwa lafudhi hiyo.
Imeniathiri sana kisaikolojia hiyo lafudhi
Hatuumwi walaWasukuma huwa najiuliza hawaumwi kichwa wakiongea kweli