Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Bahati mbaya hela haikai kwenye huruma na upendo, hela hukaa kwenye ukatili unyama na kila aina ya uovu, hela bila ya damu jasho na kila aina ya harassment ni ngumu sana kuipata.
Hili ndo jibu.
Hata ukienda kwa mganga lazima Kuna sharti la kikatili.
Ukienda kwa Masonic the same.
Kwa Mungu the same umlilie haswa kwa ibada na funga .
Hakuna penye hela bila jasho yakhee ..
 
huna mambo mengi mkuu, unajikubali....

hongera kwako
 
Nafasi za kazi Oman ujaziona.
Mshahara mkubwa kuliko hata graduate wa Serikali ya bongo Tena mwenye masters
 
Dah ukweli kbsa mkuu.Unakuta bado ujajipata ila una majukumu tayar hapo hata kumiliki demu ni ngumu chamuhimu Mungu atusaidie tupate channel mpya yenye kipato ili tuhudumie familia zetu na ambayo utaitengeneza.
Chanel moja ikigoma unabadili location
 
Fundi bishoo anaenda site kavaa jinsi yake na raba za VANS au converse all star just imagine

Kapiga na cap yake ya new York Yankees NY halafu anabeba tofali[emoji1787][emoji1787]
😁😁Kwaiyo hutaki sisi wazee wa masite tusivae kinyamwezi mkuu
 
Hapo nmekuelewa mkuu nna miaka 7 kweny ufundi mkuu conection yangu kubwa n kwa mafundi wenzangu sio maboss natfta za mabosi maana mafund wenzangu m nshawapa kiwango bila ya kiasi kadhaa mm sifanyi kazi sasa wao wanataka waendelee kunilipa same money kila mwaka hiko kitu nimekikataa toka mwaka jana novembersasa msoto nnaopitia sio kitoto japokua kuna mda unakata moto
 
Ardhi ndio msingi wa kuwa tajiri kwa mtu masikini ardhi still ni bure Tanzania nenda kakomae nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…