Kumbuka wana part yao isiyoonekana lakini.. Ili maziwa yatoke mama anahitaji lisheMyoto anapokua mchanga ananyonya san na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.
Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Mkuu nini kimekukuta?Myoto anapokua mchanga ananyonya san na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.
Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Huyu hawezi kujua maana nina hofu kama ni mwanaumeKumbuka wana part yao isiyoonekana lakini.. Ili maziwa yatoke mama anahitaji lishe
Ni binti huyu ananyonyesha.Huyu hawezi kujua maana nina hofu kama ni mwanaume