Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.

Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Kuna muda natamani mashoga mngepelekwa kwenye mstari wa mapambano kule Ukraine
 
mbona wenzako wapo wengi tu hapo Kenya , kameze midawa ya homoni za kike muda si mrefu utakuwa nayo....

1757697979468.png
 
Daaah jamaa umetukosea sana, nimejiangalia kifua na haya manyoya
 
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.

Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Acha hizo SHEMEJI! ☹️😦😞😟
 
Back
Top Bottom