Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Ila huyu jamaa hahaha.
Mngetusaidia na kubeba[emoji1768] ingependeza sana sie tukomae na uchungu walai
Ila huyu jamaa hahaha.
Hili takataka linajitangaza sana huku kuwa ni papai.
Yes ni PAPAI BOVU HILO. TAKATAKA KABISA HALIFAI BWABWA.Hivi ndio huyu alisema wanaume wavae magauni na madela
😃😃Nini hiki tena?
Hua wana anza hivyo hivyo,
Kwani kabla ya kuzaa hukuyajua yote haya? Na ndio basi tena, wanaume hatuwezi kunyonyesha, haijawahi na haitokaa itokee. Mwanamke anayempenda mwanae kwa dhati hawezi kuchoka kumnyonyeshaMtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.
Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Huyo ni wewe?