Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

Kwani kabla ya kuzaa hukuyajua yote haya? Na ndio basi tena, wanaume hatuwezi kunyonyesha, haijawahi na haitokaa itokee. Mwanamke anayempenda mwanae kwa dhati hawezi kuchoka kumnyonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…