- Thread starter
- #241
Dahh Mwenye buku jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahh Mwenye buku jamani
🤣🤣😂Ulipo toka ndo wengine tunapita bhna mandazi matatu na kikombe cha tangawizi na unalala hapa nimekonda vibaya mnoSitaisahau Manzese Argentina, pale kulikua na mzee mmoja ana uza maandazi mia na chai mia, usiku kibao nimelalia mia tano, kuna wakati unakua una mia tano tu mfukoni, unasema hii jero ntaenda zangu jioni kwa mzee nile maandazi manne na chai moja. Enzi izo nilikonda kama mbwa, hali mbaya.
Sina ham nimebeti hela ya Mboga cameroon leo usiku desh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ghana wanauwa uko
Pole mkuuWe acha tu mzee mi nimejifungia ndani naogopa hata kujigeuza nahofia mwenye nyumba ataniskia atakuja kunigongea anataka kodi kila kitu nshauza na hata hakuna ramani ya mambo kuwa mazuri nishapm watu kama watatu humu jf naomba msaada wa elfu 30 tu asee na mimi nijinasue nilipe kodi ya mwezi tu nione kama mambo yatakuwa sawa hali sio shwari mkuu
Ila hilo Jina lako mkuuHuu uzi unafariji sana aseeeeee...... sitaki kuongeza neno zaidi ya kusema HUU UZI UNAFARIJI
Yes mkuu, when men talk, boys and women must remain quiet and listen attentivelyKama hiyo hali hujawahi kuipitia better keep quiet bibie.......
Nimewahi pia. sema kwa kuwa alikuwa kijana mwenzangu.😂😂😂🙌Mimi nilishawahi kumkopa baba mwenye nyumba na wakati huo alikuwa ananidai kodi
Wewe mkuu ni fwaaalaaa 🤣 🤣 🤣 🤣ndio maana huwa namuelewa mtu mwenye makorokoro ya anasa ambayo yanauzika.
kama una hela ya iphone au samsung kubwa nunua huwezi jua kkutwa itaamkaje.
kama una hela ya laptop nunua huwezi jua kkutwa utaamkaje.
kama una hela ya kununua licheni au hereni za dhahabu au silva gram kadhaa wewe nunua.
maisha yaliyo ya wengi hasa sisi watanzania wa kuupiga mwingi hela haikai wajumbe,yaani hata ukaze fuvu namna gani unashangaa graph kule bank ina drop tu,mara paaa unaskia mjomba wako kameza shoka.