Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

Wazee kuishiwa kupo bhana sema kikubwa ni kutokta tamaa mi mpka sasahivi sina kitu wiki iliyoisha tu nimemalizna na kisanga cha kutaka kufa njaa nikabeba jiko la mkaa masufuria visu nikapeleka kwenda kuuza kwa mama ntilie tena kwa elfu 10 akanipa na shamni ya wali hapa leo nadaiwa kodi kitu cha thamani ambacho ninacho ni pc niliomba kama ingekuwa ni yngu na yenyewe ningekuwa nishauza kitambo sana
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚Ulipo toka ndo wengine tunapita bhna mandazi matatu na kikombe cha tangawizi na unalala hapa nimekonda vibaya mno
 
Sijui hili lokoje wakt umepigika haswa ndio watu wanatokea kununua vitu vyako vya dhamani kwa Bei ya kutupa

Kuna mzee mmoja amenipigia simu Yuko mbeya kule anataka kununua shamba langu la miti heka mbili kwa milion moja namtafakari haswa na hapa nimepigikaa vibaya mno
 
We acha tu mzee mi nimejifungia ndani naogopa hata kujigeuza nahofia mwenye nyumba ataniskia atakuja kunigongea anataka kodi kila kitu nshauza na hata hakuna ramani ya mambo kuwa mazuri nishapm watu kama watatu humu jf naomba msaada wa elfu 30 tu asee na mimi nijinasue nilipe kodi ya mwezi tu nione kama mambo yatakuwa sawa hali sio shwari mkuu
 
Pole mkuu
 
Kipindi Niko mdogo nilikuwa najiuliza iv mzee anakosaje hela yani ile akisema Sina hela ata 100 me najiuliza how Sasa nimekuwa mkubwa nikasadiki maneno ya wahenga kuwa uyaone
 
Wewe mkuu ni fwaaalaaa 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…