Kuna mwanasimba aliyemuelewa huyu Sadio Kanoute?

Kuna mwanasimba aliyemuelewa huyu Sadio Kanoute?

Mimi binafsi kilichokuwa kinaniuza kwa Mkude ni ile style yake ya backpass nyingi na slowness akiwa na mpira.
Ila,
1. Ana jicho la pasi ndefu na kuhamisha mpira zaidi ya Kanoute.
2. Ana pass accuracy kuliko Kanoute.
3.Anaweza khold mpira na dribble kuliko kanoute.

Kifupi Bora acheze Mkude kuliko Kanoute.
 
20211001_081431.jpg
 
Binadam tu kikawaida tunatofautiana mitazamo na maono ila kiukwel simba aya wanayopitia ni sahihi kwao waliish kwa mazoea wakasajili kwa mazoea ila ubaya wao wao walikua na cha kujifunza kwanza kupitia wao wenyewe miaka ya nyuma kipind yanga anafanya vzur ,mafunzo mengine waliyapata kupitia sajil za yanga kwa miaka hii ,lkn kubwa zaid wale kaizer chief hawa jamaa simba kama wangetumia waliwapa funzo nzur sana kupitia mechi zote mbil kule south waliwaonyesha udhaifu wao kuanzia kuzuia ad kushinda apa dar pia waliwaonyesha umuhimu wa kutumia kila nafas moja kuwa gol,simba kupitia wale wasouth na mechi nyngne ambazo walikua wanafungwa shida yao inaanzia nyuma ktk kuzuia unakuja ktk kukaba wakiwa hawana mpra mwsho eneo la kufunga sehem mote kuliitaj watu sio wa kuja kupata uzoef waje kucheza kiungo mkabaj mwenye kasi na uaraka ,pia bek mmoja wa pemben na mshambuliaj kuwazd hawa ni wachezaj watatu au wanne tu wa viwango ndio wangekuja kuipeleka mbele zaid simba inonga ndio usajil bora ad sasa hawa wengine ni kubet
 
Mimi naona tumerudi nyuma hatua kumi. New signing zote wametoka ligi za kawaida ukiacha Henock aliyetoka ligi ya Congo.
Tuliwaamini viongozi walipokua wakiimba sifa za wachezaji wapya wa kigeni. Tulijua mapengo ya Chama na Miquisone
Hebu nisaidie ni mchezaji gani simba walimsaini na ghafla akafanya vizuri...
Chama na Miquisone wali click haraka. Na hata wakati hawajafikia peak bado ilionekana wanakitu cha ziada

Hawa wa sasa wamepata mechi kadhaa za pre season lakini huoni tofauti yao na wachezaji wengi averag
 
Acha uongo mkuu Emanuel Okwi msimu wake wa kwanza alistruggle sana.

Okwi alianza kuonyesha makali msimu wa pili na msimu wa tatu ndiyo akawa wa moto zaidi.

Unazungumzia Mutesa Mafisango katika usajili wake Mafisango alisajiliwa na Mumba Sunzu ulikuwa usajili wa kuziba magepu katika timu ambayo ilikuwa na playing style bila kuondokewa na mchezaji muhimu hata mmoja.

Aishi Manula msimu wa kwanza lawama zetu zote ilikuwa kufungwa long balls japokuwa tulimaliza msimu bila kufungwa lakini alifungwa goli 12 na mbili karibu zote ni long range goals tatizo ambalo ni msimu uliopita ndiyo halikuwepo.

Mchezaji ambaye alikuja kufit kwenye squad from day one mpaka leo ni Sergej Paschal Wawa peke yake.
Mkumbushe na Patrick Ochan alivyokuja ilikuwaje
 
Kwa aya maelezo yako pamoja na majbu bas ni kwel uyu mchezaji sio ambae alikua anaitajika simba ,kama ni kiungo mkabaji alafu bado akawa slow vile utamtetea tu lkn matokea ndio yataamua ukwel simba miaka ya karbun imekosa kiungo mkabaji shap na ambae ananusa hatari kwa haraka na kufka ktk eneo ,rejea ata kuondoka kwa kotei ,hiv uyu anamzd nn kotei,una lwanga una mzamiru una mkude hawa wote ni viungo ambao wapo slo japo ni wa wakabaji na ndio maana rahis sana kucheza faulo kila wakitaka kupokonya mpra au kukaba eneo sifa ambayo ingempa ubora uyu saido ni kuwa tofaut na hao wenzie ni mchezaj ambae kiwango chake hakipishan sana na ndemla ata kama tutaweka ushabik au nin ukwel ni kwamba kwa simba ilipofikia au shida ya simba haikua kiungo mkabaji wa aina yake
Sawa nimekubali, sasa mwenzetu nakupa kazi ya kumtafuta huyu kiungo mkabaji ambaye ana kasi hiyo unayotaja? Usijali gharama maana mi ntalipa kila kitu, naomba unitajie kiungo mkabaji yoyote anayecheza Afrika mwenye kasi hiyo unayotaka.Binafsi toka nimeanza kuhusika katika mpira sina kumbukumbu za kwamba kiungo mkabaji anahitaji kasi.Nakupatia viungo wakabaji wazuri hapa kwa ligi yetu ,then ntaomba nione speed zao ziko vipi:1 Mkoko 2:Kanoute 3: Mkude, J 4:Khalid 5:Nyoni
 
Aucho ana kasi kuliko wote uliowataja apo ,ata kipind cha usajili nilikua napenda zile tetesi za yeye kuja simba angeleta kitu ktk pale ,viungo wote ambao kiasili wanacheza namba sita au nane ili wawe bora kasi muhimu sio kasi ya mbio hapana ni kasi ya kupokonya mpra na kuutoa kwa haraka na kasi ya kusoma hatari kwa wapinzani ,ukimuangalia ata yule dieng ni kiungo mpole lkn ni bora kwa sababu iyo ,muone ata ngolo kante au herera,wapo wengi ata apa apa kwetu Africa kuwapata kwake ni utulivu tu weng wana mikataba na weng wanaitaj kucheza sehem bora zaid ukitulia unawapata kwa msimu huu simba tumesajil sawa ila kiukwel labda ni miemko au mazoea mara mia uache nafas wazi uje kujaza baadae kuliko kusajil kwa kubahatisha ,ilitokea bahat kwa aucho nazan atukua silias ivyo ivyo kwa moses phili ,kataa kubal kwa mpra wa kisasa na aina ya viungo wakabaji timu nyng zitatusumbua apo bado kiungo mchezaji muhimu kaondoka
 
Mkuu sadio n kiungo mkabaji kaz ya kiungo mkabaji n kupooza mashambuliz na kukaba kuilinda back four yake kaz Hiyo sadio ameiweza labda ungesema Hana fiziki kaz ya kusambaza mipira kwa kas n kaz ya namba nane na kum via viungo wa pemben inategemeana na mfumo
 
Sasa kamba namba sita ni slow utafika vipi kwa namba nane kwa haraka??? Namba nane na sita zote zinabidi ziwe kasi kupanda na kushuka.
 
Back
Top Bottom