Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu.
Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura.
Wameamua kabisa, Chaguzi katika nchi hiyo zitakuwa ni geresha tu kuonesha kuwa kuna Demokrasia ila kamwe wananchi hawatapata kiongozi wanayemtaka.
Ili kuepusha kubanwa na dunia saivi, Chama na siasa cha nchi hiyo saivi kimejikita sana kimahusiano na Urusi na China jambo lililozishtua sana Taasisi zinazoongoza wa Ujasusi duniani za MI6 ya Uingereza, CIA ya Marekani na MOSSAD ya Israel.
Kutokana na hofu hizo imeelezwa wakuu wa mashirika ya CIA na MI6 walikutana Kenya mwezi Oktoba kujadili tishio linalokuwa katika hiyo nchi kutokana na Chama kinachoongoza hiyo nchi kuanza kuchukua mlengo wa Mataifa yanayofahamika kwa kukiuka haki za binadamu na demokrasia ya Urusi na China.
Mbaya zaidi inasemekana kuwa Chama hicho ni kama karatasi tu kwa vyombo vya dola vya nchi hiyo ila kutokana na ujinga na rushwa wamevipofusha macho vyombo vya dola vya nchi hiyo na wamekuwa wakikiogopa kinyago walichokichonga wenyewe wakati kinyago hicho si chochote si lolote.
Taarifa zinadai Viongozi wa Kanisa kubwa zaidi kwenye nchi hiyo wameshakichoka Chama hicho