Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

Waje na grader wambembe chura kiziwi wamtose baharini aogelee mpaka visiwani.

Ila mkombozi wa hiyo nchi ni wananchi wake na sio mzungu wala mchina. For as long as wananchi wataendelea kufungia macho udhalimu wa hicho chama, hakuna lolote litakalobadilika.
Libya aliwahi kuondolewa Gadaffi na alikuwa na support kubwa ya wananchi, achana na mzungu akikushikia bango mzee.

Kama hatakuondoa basi atakuachia kovu ambalo utakaa nalo kila siku ukilitazama kwa maumivu.
 
Unaongea ugoro sana wewe! Ukitaka kuijua CIA na M16 fikiria alichofanyiwa Hugo Chavez wa vene, sadam Hussein, gadaf, general Manuel Noriega wa panama! Ukishajikomba Kwa china na urusi au ukiwa against USA na western powers unachakazwa TU!
Hujui kitu wewe nyumbu hao CIA walishajaribu sana lakini wakashindwa usifikiri ni rahisi hivyo wewe nyumbu!
 
Ikitokea siku TISS na JW wakawanawa. Wewe utakuwa wa kwanza watu kudeal na wewe. Maana wewe ndo kiongozi wa machawa
Atakwambia "Usimtishe", hakuna anaye weza kumtisha mama!

Lakini hata sijui wewe uligeuka lini kuwa "gunia la chumvi" iliyo ganda!
Halafu bado unayo matumaini na hao mabeberu wanao ikosha roho yako! Mbona unaye mlaumu sasa anatembelea humo humo kwenye nyayo zinazo suza akili yako. Tatizo lako ni nini hasa na huyo mama!
 
Naona sasa mmechanganyikiwa kabisa.Na bado hiyo ilikuwa ni rasharasha tu .Mvua zenyewe ni Mwakani.
Mzungu mpaka aingilie kati labda wamnyanganye Mafuta na Gesi. Na ile migodi ya Dhahabu.

Bila hivyo wataendelea kutukata mapanga hawa akina Lucas bila huruma
 
Nchi hiyo Raia ni maiti
Hata ufanyeje maiti hao hawafufuki
Hawajui kuhusu haki zao.
Wanazijua haki zao ila Mfumo wao wa Maisha ndio umevurugika.Wanasubiri miujiza siku zote...ili haki ipatikane,inaanza na mtu mmoja mmoja..sasa kama mimi na wewe tayari tuko chalii..( maiti) tunasaidikaje?
 
Libya aliwahi kuondolewa Gadaffi na alikuwa na support kubwa ya wananchi, achana na mzungu akikushikia bango mzee.

Kama hatakuondoa basi atakuachia kovu ambalo utakaa nalo kila siku ukilitazama kwa maumivu.
Kila siku lichama hilo hilo, mirangi hiyo hiyo. Wamekataa kuwa kama Ghana. Wazungu njooni mtusaidie kuikomboa Tanzania..
 
Waje na grader wambembe chura kiziwi wamtose baharini aogelee mpaka visiwani.

Ila mkombozi wa hiyo nchi ni wananchi wake na sio mzungu wala mchina. For as long as wananchi wataendelea kufungia macho udhalimu wa hicho chama, hakuna lolote litakalobadilika.
Wananchi ni mazoba.
 
Back
Top Bottom