Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

Habari za kutunga,imeandikwa kwa kufuata fikra tu,haiwezekani wakajadili suala kubwa kama hilo ugenini,Demokrasia hata Marekani wameshindwa tumeshuhudia wakikataza Maandamano ya wanafunzi baadhi ya vyuo wanaopinga Umwagikaji wa Damu Mashariki ya Kati.DEMOKRASIA NI PANA SANA NA INATEGEMEA INATEKELEZWA KATIKA NCHI GANI,HAKUNA UNIFORMITY OF DEMOCRACY
 
🚮🚮
 
Muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…