Lakini pamoja na yote bado tuna uzembe katika kudhibiti huu ugonjwa hapa nchini,mbona China kuna mabilioni ya watu lakin rate ya maambukizi ni chini ya asilimia 1?! Marekani hivyohivyo hawana ugonjwa wengi wa UKIMWI pamoja na kuwa na watu zaidi ya million 300Asante sana kwa hii ila absolute numbers huwa zinadanganya. Ukilinganisha na jumla ya watu katikanchi. Kitu tunachoweza ku compare ni Prevalence Rate
Hapa kuna kiwango cha asilimia ya maambukizi (Prevalence Rate miongoni mwa watu wazima wenye umri wa miaka 15β49) kwa kila nchi kati ya zile 40 zilizopo kwenye chati, kulingana na takwimu za karibuni za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (UNAIDS) na Benki ya Dunia:
Na. Nchi Idadi ya Watu wenye HIV (Kwenye Picha) Kiwango cha Asilimia (Prevalence Rate 15β49) 1 South Africa 7,800,000 14.4% β 17.3% 2 India 2,600,000 0.2% 3 Mozambique 2,500,000 12.6% 4 Nigeria 2,000,000 1.3% β 2.2% 5 Tanzania 1,800,000 4.5% β 8.2% 6 Uganda 1,500,000 5.0% 7 Zambia 1,400,000 11.0% 8 Zimbabwe 1,300,000 11.6% β 23.1% 9 Kenya 1,300,000 3.7% β 5.3% 10 Brazil 1,100,000 0.6% 11 Malawi 990,000 7.7% β 11.4% 12 DR Congo 610,000 0.7% 13 Ethiopia 600,000 0.9% β 1.4% 14 Thailand 570,000 1.3% 15 Indonesia 570,000 0.5% 16 Cameroon 510,000 2.7% β 4.0% 17 Ivory Coast 410,000 2.7% 18 Mexico 400,000 0.35% 19 Angola 370,000 2.1% 20 Botswana 360,000 15.7% β 22.8% 21 Pakistan 350,000 0.1% 22 Ghana 330,000 2.0% 23 Myanmar 290,000 1.2% 24 Lesotho 260,000 17.1% β 26.2% 25 Rwanda 240,000 2.9% 26 Colombia 230,000 0.6% 27 Eswatini 220,000 23.4% β 28.3% 28 Namibia 220,000 11.8% 29 Philippines 220,000 0.2% 30 Spain 160,000 0.7% 31 Haiti 150,000 2.2% 32 South Sudan 150,000 2.4% 33 Italy 150,000 0.3% 34 Argentina 140,000 0.65% 35 Republic of the Congo 130,000 3.8% 36 Guinea 130,000 1.4% 37 Peru 130,000 0.3% 38 Papua New Guinea 120,000 0.9% 39 Chad 120,000 1.2% 40 Benin 70,000 1.0% Tofauti Kuu Inayoonekana Hapa:
- Eswatini, Lesotho, na Botswana zina idadi ndogo ya watu kwa jumla (k.m. Eswatini ina watu karibu 220,000 pekee wenye HIV), lakini zina Prevalence Rate kubwa zaidi duniani (zaidi ya 15% - 28%).
- Nchi kama India, Nigeria, au Brazil zina namba kubwa ya wagonjwa kwenye chati (watu milioni 1.1 hadi 2.6) kwa sababu tu ya kuwa na idadi kubwa sana ya watu kwa jumla, lakini Prevalence Rate zao ni ndogo sana (chini ya 2%).
- Kwa upande wa Cameroon, ikiwa na prevalence rate ya 2.7% β 4.0%, iko katikati β haina kiwango kikubwa mno cha asilimia kama nchi za Kusini mwa Afrika, bali idadi yake ya watu (milioni 28+) inafanya namba kamili kufikia elfu 510.
Cancer siku hizi ukiiwahi inaponyeka. Ila Ukimwi ni mwisho wa lamiSiyo issue kama haujaupata ,Msikilize Cherry mwenyewe anavyosema ,hakuna ugonjwa mdogo ,ugonjwa ni ugonjwa ,kuna watu wanakwambia bora ukimwi kuliko cancer au kisukari ,kuna watu wamepona cancer na kisukari.
Tatizo la Ukimwi ni kwamba umekaa pabaya na unaambukiza sana ,tofauti na cancer/kisukari(NCD) na ndiyo maana unatiliwa sana msisitizo.
Hivi hizi nchi ulizotaja zina tabia kama ya kwetu Sub-Saharan Africa. Ngono kwenda mbele. Hata humu JF kila mtu anamtamani mwenzie kuinyuka K yake. Uliza Wanawake hasa walio open kama To yeye , Seran , Evelyn Salt au Kapeace wakueleze ukweli PM zao zinavyofurika vijana kuomba K. Mpaka wanafunga PM zao.Lakini pamoja na yote bado tuna uzembe katika kudhibiti huu ugonjwa hapa nchini,mbona China kuna mabilioni ya watu lakin rate ya maambukizi ni chini ya asilimia 1?! Marekani hivyohivyo hawana ugonjwa wengi wa UKIMWI pamoja na kuwa na watu zaidi ya million 300
Usisahau ugomvi kati ya mwanaume na mwanamke mara nyingi inasababishwa na wawili kuwa wanaifyatua K ila mwanaume akimkimbia mwanamke....... Hivyo si ajabu binti anajua ukweli wa umri wa Dotto kuliko wewe58 hajafika ,yupo around 47-49.
Ni sawa ila ni rahisi kusema naenda kumzika mtoto wa kaka/dada yangu kuliko naenda kuzika mtoto wangu wa kumzaa.Kila ukoo kuna mgonjwa, hivyo atuchekani
Acha ubishi hao TEETH hawaishi kwenye sayari yao. Tupo nao mtaani ni washkaji zetu. Miaka yetu sisi wakati tunasoma walikua wanafanyiwa vetting mashuleni sanasana kwenye shule za vipaji maalum. Nina washkaji zangu nimesoma nao olovel na alevel kwenye hizi shule zetu za vipaji maalum wengine wapo uko. Kwenye vikao vya hapa na pale vya kumwagilia moyo huwa wanatumegea za ndaniHuwa mnatumia nini kabla ya kusimuliana hizi story za kijinga hadi watu na ndevu zenu mnaziamini kabisa? Ujinga bado ni janga la taifa hakika.
Sasa si ndio huo ukimwi alikuwa nao.banza stone hakufa ghafla
aliumwa mda sanaa
mkilewa mnadanganyana sana
Eti mzigo wa njugu wa bongo banaππππNgwengwe ipo inatembea kimya kimya mjini. Nilishasahi kufanya kazi USAIDS nilikua upande wa masuala ya finance. Mzigo wa njugu ulikua unapitia kwenye department yangu. Nilikua naona.
wakati tetesi za huyu jamaa zinasambaa kwamba anabugia mbaazi
UD ilikuwa ni mayowe na vilio kila kona
Ila mkuu una hasira na jazba. Kulikoni?Huwa mnatumia nini kabla ya kusimuliana hizi story za kijinga hadi watu na ndevu zenu mnaziamini kabisa? Ujinga bado ni janga la taifa hakika.
Kwani hawatumii kinga?Case Closed - Hollister na Dotto Magari Walikuwa wanachukua ARV clinic moja.
Lengo la Thread ni kwamba wasichana wasiwe wanawashobokea watu hovyo hovyo bila kujua historia zao vizuri ,je kabla hajaanikwa kawaambukiza wangapi?
View attachment 3637372
Mtu mwenye ngwengwe lengo lake ni kuambukiza wengine kadri iwezekanavyo ,na kwenye tendo wanawake beki hazikabi kwa mtu mwenye fedha ,me ndiyo anaamua kuvaa au kutokuvaa na kama ndiyo ana gridi kuvaa NGUMU yaani kitu Dry(Drive Inn -Ubalozi), Kisiwa, Chama.Kwani hawatumii kinga?
Mwenyewe yeye mbona huwaga anatoa Siri za watu na kuwananga watu , Huyo mtu unaye jaribu kumtetea Jaribu kuangalia pia na life style yake anaishi kama kichaa kutwa kuparamia watu , Halafu unategemea kwamba asingekuja kukutana na hizi drama !?Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.
Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.
Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
Hatari mkuu - hali ni mbaya sana....Ma Doctors wanajua.
Mkuu hivi unajua umri wa miaka 58 kibongo bongo? Huyo hajafika huyo ni umri wa kina Zitto.Usisahau ugomvi kati ya mwanaume na mwanamke mara nyingi inasababishwa na wawili kuwa wanaifyatua K ila mwanaume akimkimbia mwanamke....... Hivyo si ajabu binti anajua ukweli wa umri wa Dotto kuliko wewe
Kabisa ,Drum ni noma sana mkuu ,maana ukitumia ARV kwasana unawehuka ,unapata mental illness na somtimes zinaweza kuua FIGO.Cancer siku hizi ukiiwahi inaponyeka. Ila Ukimwi ni mwisho wa lami
Yeah TEJA kabisa Full hadi mwizi ili apate pesa ya ngada.Kumbe Dotto alikua teja
Sio kweli
Hata hivyo mtu anayetumia ARV probability ya kuambukiza ni ndogo sana. Halafu siku hizi kuna dawa kinga unachoma sindano mara mbili tu kwa mwaka.Mtu mwenye ngwengwe lengo lake ni kuambukiza wengine kadri iwezekanavyo ,na kwenye tendo wanawake beki hazikabi kwa mtu mwenye fedha ,me ndiyo anaamua kuvaa au kutokuvaa na kama ndiyo ana gridi kuvaa NGUMU yaani kitu Dry(Drive Inn -Ubalozi), Kisiwa, Chama.