Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Uwe bize sana , ukikaa kihasara hasara utoboi
 
Kwa full analysis nimeona hio njia haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…