Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Upo sahihi kabisa mkuu, maana tunakandamizwa lakini bado tu kimya, wamefika mbali zaidi wamekuja kutuomba hela ya kampeni π π πMkuu sio mwafirika, hapana sema Mtanzania hasa Mtanganyika!!!
Hoja siyo mikopo bali masharti ya mkopo yakoje? Pascal Mayalla aliwahi kuweka hapa bandiko la jinsi tulivyokopa hela za kujengea mradi wa Bomba la gesi toka Exim Bank ya uchina, mpaka unashangaa ilikuwaje CCM ilikubaliana na masharti ya mkopo kama yale.Kukopa ni suspended tax, badala ulipishwe kodi leo ikulemee, serikali inakopa unakuwa unalipa kodi kidogo kidogo
Asante Malaya Wa international school hata unacho bwabwaja huelewi akiri kisodaNyi mbwa wa memkwa wengi sana
Ufeki wa uchaguzi siyo kwa kuwa CHADEMA hatumo bali Kwa kanuni za uchaguzi zilizoko.Na miundombinu inajengwa kwa nywele zako za huku?.. uchaguzi feki kwa kuwa hampo!?
Ukikaa nchale Ukiinuka nchale π³ !Mkadhani ni gsm tu wanawachangia ccm?!
ππ hiki kitu nilikihisi siku nyingi, ukiangalia ujinga ujinga, mb zinakatika kama umeme wa Tanesco,Unatumia MB kuangalia Giggy Money akisutana na Diva, acha wakulime
ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE LA KINA SETHNimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Wizi ni wizi tu hata ukirembwa vipi.Ndio tulipofikishwa na viongozi waliokuwa wanajifanya kumwimba Mwl JK Nyerere.Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
πππ Unarukaruka tu kama una ukurutuUfeki wa uchaguzi siyo kwa kuwa CHADEMA hatumo bali Kwa kanuni za uchaguzi zilizoko.
Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya miundombinu ya nchi yetu hujengwa ama kwa mikopo ya riba nafuu au mikopo ya kibiashara.
CCM ni mafundi wa kutapanya fedha zinazokusanywa kutokana na Kodi.
Akili na si akiri, lugha mama huiwezi utaelewa mambo ya maana!?Asante Malaya Wa international school hata unacho bwabwaja huelewi akiri kisoda
Kwako elimu ya kodi imeishia hapo tu!!?Hivi kuna asiyelipa kodi Tanzania - yaani hatumii vya dukani, sokoni, hajengi, hatumii simu, nk?
Sifanyi ujinga huoNa mwezi wa 10 mtapanga foleni kuanzia asbhi mpaka jioni kuwachagua CCM.
Sasa ukurutu na kurukaruka wapi na wapi? CCM mnatoza Kodi watanzania ili muwaibie Kisha mseme hela si za umma (Rejea sakata la Tegeta-Escrow)πππ Unarukaruka tu kama una ukurutu
Shida hawaeleweki wanaitumia kufanyiwa nini, sababu asilimia kubwa ya bajeti inalipa deni,je tuiite watumwa au watu huruLipa kodi,mnadhani serikali itapata wapi fedha?..wakikopa kelele,wakiwakata kodi kelele,tz ina watu 70 m,walipa kodi 1.5m,kenya walipa kodi 7m watu 40+m