Kwa sasa ndo mnafukuzwa kabisa hapo GazaNi kweli wanayopitia ni makubwa na si ajabu walijua ndicho kitafuata.
Kama uliwahi kuangalia movie za apartheid Africa kusini, walipigwa waliuwawa na waliandamana na walijua kinachofuata ila hawakukoma na mwisho walishinda.
Hii ndio hali ya watu hao
Israel ishasema watachowafanya kitawafanya warudi miaka 50 nyumaHao ghaza wataamka kiuchumi baada ya miaka mingapi? Maana maafa ni makubwa sana
Wamepiga marufuku kelele za maspikaSaudi Arabia ambapo ndio kitovu Cha uislamu Kuna mavurugu??
Wewe umeielewa sana Quran kuliko wao ???
Wewe mpuuzi Wapalestina hawajawahi kuishi kwa amani karibia miaka 50 sasa tangu ardhi yao ilivyovamiwa na walowezi wa kizayuni.Niko very objective, Israel walikua wanaishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla kwa mihemko ya dini HAMAS wakatuma rockets 4,000 kwa siku moja.
Sielewi mlitegemea Israel waimbe taarab wasifanye chochote....
Kwa Urusi, watu wa Ukraine waliishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla Urusi kwa mihemko ya Putin, ikaanza kushambulia kwa kila aina ya silaha, ila Ukraine wakajikakamua na kugeuza kibao.....
Issue mbili hizo zinahitaji ilmu ya dunia kuzielewa, sio ile ya madrassa.
Kwa nini wasingewateka tu waisrael badala yake wameua 1200 pamoja na watoto.Haikutambuliwa sababu US said so, unadhani hata hao Israel bila US wangetambuliwa? Hata China inatambulika kama taifa linaloendelea tu sio lililoendelea!! Because US says so.
Swali nimeuliza sababu nashangaa watu mnapinga anayeonewa asipige kelele eti kisa "amelianzisha mwenyewe". Ndio najiuliza kipindi tunasaidia wapigania uhuru kma FRELIMO, MPLA n.k hatukujua walianzisha wao vurumai la kumtoa mkoloni.
Halafu utasikia ohh wabasema uislamu dini ya amaniSiyo kwamba wanapigana na dini zingine tu, ila bado wanaongoza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Angalia huko Somalia, Sudan, Yemen, Libya, , Misri, Afghanistan na kwingineko ni waislam tupu ila wanatwangana vibaya. Hawa wavaa kobazi hawa....
Hao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Saudi Arabia hakuna itikadi kaliSaudi Arabia ambapo ndio kitovu Cha uislamu Kuna mavurugu??
Wewe umeielewa sana Quran kuliko wao ???
Ndio nasema hao hao waIsrael wamemfungulia mashtaka ya ufisadi na rushwa. Sasa unavyomquote hapo it's as if ni mzalendo au yuko serious kuhusu amani wakati ni obvious ni jizi na wamesema wayahudi wenyewe sio mimi.Duh!
Punguza kisirani mkuu usije ukajilipua Bure!
Yule ni Waziri mkuu wa Israel aliyechaguliwa kidemokrasia
Sijui unaongea vitu gani, una generalise tu kwani ukisema waislam ni kina nani? Ni sawa na Anglican kuembrace ushoga alafu mtu aseme "wakristo wanapenda ushoga". Why? Umewahi kwenda msikiti gani ukasikia wanashabikia ugaidi?
Wapi nimekosoa? Tafuta nyuzi zangu zote nimekua nikipinga uvamizi wa Urusi. Mimi nachopinga ni nyie mnao support Ukraine kujipambania dhidi ya wavamizi wa Urusi eti mnashangaa Palestine wakijipambania uhuru wao.
Hata Bible mkuu mbona Mungu alimtuma Elia kuua manabii wa Baal zaidi ya elfu 3?Hao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
K
Saudi Arabia hakuna itikadi kali
Ndio maana tunaona wanazidi kubadilika, hadi wanawake wanaangalia mpira uwanjani
K
Saudi Arabia hakuna itikadi kali
Ndio maana tunaona wanazidi kubadilika, hadi wanawake wanaangalia mpira uwanjani
Then usiongee ujinga, mara zote humu JF nimekua pro-ukraine mpaka nikaitwa kibaraka wa USA so unaponiweka kwenye kundi la hao Russia na Israel nakushangaa sana.Sina haja ya kufukua nyuzi
Wapi nimekosoa naomba Unionyeshe maana unanilisha maneno!!ukikosoa Ukraine kuipiga Urusi ndani,
Nikikuwekea mistari hapa ya genocides kwenye Kitabu cha Mwanzo usije kimbia. In fact hata biashara ya utumwa ilihalalishwa agano la kale then unaongea mambo gani haya?na mnachinja watu kisa mumeagizwa, wale msiochinja sio waislamu kamili maana maagizo yenyewe ni bayana.
Hukuwepo enzi za kikwete brooTanzania kuna Uislam je vurugu zi wapi mkuu?
Afu wanaamini watapewa mabikra 70+ daah hii sio dini bali ni ugaidiHao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Magaidi hawa wakalipua baloz dar na kenya anasahau kule kenya walilipua duka aisee. Zenji hapo walichoma makanisa nk hawa magaidi hapana kwa kweliUnesahau ya Kibiti, Shaurimoyo, mapango ya Amboni na Zanzibar?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hata Bible mkuu mbona Mungu alimtuma Elia kuua manabii wa Baal zaidi ya elfu 3?
Achilia hapo hata kwenye agano la kale Mungu aliwahi muadhibu mfalme Haggui sababu aliamriwa akivamia wafilisti achinje wote kuanzia binadamu hadi wanyama sema yeye alibakiza ngombe na farasi walionona akaadhibiwa.
So nadhani labda huko nyuma Mungu alikua mkali sana walau sasa tupo kipindi cha neema.
Then usiongee ujinga, mara zote humu JF nimekua pro-ukraine mpaka nikaitwa kibaraka wa USA so unaponiweka kwenye kundi la hao Russia na Israel nakushangaa sana.
Wapi nimekosoa naomba Unionyeshe maana unanilisha maneno!!
Nikikuwekea mistari hapa ya genocides kwenye Kitabu cha Mwanzo usije kimbia. In fact hata biashara ya utumwa ilihalalishwa agano la kale then unaongea mambo gani haya?
Hapo bado kuna utofauti na suala la south afrika, Wa-south Afrika waliokuwa wanashughulika na harakati za uhuru walikuwa wanapata support kuanzia nchi za kiafrika zilizokwisha pata uhuru, Urusi, Marekani na hata baadhi ya nchi za ulaya, hii ni tofauti sana na support anayoipata palestina. Anapata support ndogo sana kwa nchi zinazomzunguka na hata zile ambazo zipo mbali nae. Kama unategemea siku Palestina itakuja kupata ushindi au Uhuru wake hilo sahau tu, mpaka Bin Mariam anarudi.Ni kweli wanayopitia ni makubwa na si ajabu walijua ndicho kitafuata.
Kama uliwahi kuangalia movie za apartheid Africa kusini, walipigwa waliuwawa na waliandamana na walijua kinachofuata ila hawakukoma na mwisho walishinda.
Hii ndio hali ya watu hao
Hahahhaha unishushe as if Internet points matter!! Yaani fake ID ishushwe hadhi? Kwa akili hizi ndio maana Ruto anawaburuza.nikakushusha sana
Ndio nmekuambia hata Bible mara kibao tu Mungu aliamuru wayahudi wachinje wafilisti tena mpaka watoto na wanawake!! Na walikua wakichinja hawaachi kitu.Nimekuambia nyie mna uzombi sana, mnachinja watu kisa mungu muarabu ambaye mliletewa habari zake na waarabu walipokuja kubaka mababu zetu.
Una mindset mbovu sana so all this time unadhani mimi ni Muislam? Kwamba kila anayepinga uonevu lazima aongozwe na mahaba ya kidini?Nyie mumeandikiwa kabisa msake kila asiyemuabudu huyo muarabu, mumchinje, na mlivyo wajinga mnateka mabasi na kuhoji kila asiyemuabudu muarabu mnamchinja, mnakuta watu sokoni mnajilipua mabomu yaani kila sehemu ni mavurugu yenu....
Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)
Fight fight everywhere
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”