Niko very objective, Israel walikua wanaishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla kwa mihemko ya dini HAMAS wakatuma rockets 4,000 kwa siku moja.
Sielewi mlitegemea Israel waimbe taarab wasifanye chochote....
Kwa Urusi, watu wa Ukraine waliishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla Urusi kwa mihemko ya Putin, ikaanza kushambulia kwa kila aina ya silaha, ila Ukraine wakajikakamua na kugeuza kibao.....
Issue mbili hizo zinahitaji ilmu ya dunia kuzielewa, sio ile ya madrassa.