Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Ni kweli wanayopitia ni makubwa na si ajabu walijua ndicho kitafuata.

Kama uliwahi kuangalia movie za apartheid Africa kusini, walipigwa waliuwawa na waliandamana na walijua kinachofuata ila hawakukoma na mwisho walishinda.

Hii ndio hali ya watu hao
Kwa sasa ndo mnafukuzwa kabisa hapo Gaza
 
Niko very objective, Israel walikua wanaishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla kwa mihemko ya dini HAMAS wakatuma rockets 4,000 kwa siku moja.
Sielewi mlitegemea Israel waimbe taarab wasifanye chochote....

Kwa Urusi, watu wa Ukraine waliishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla Urusi kwa mihemko ya Putin, ikaanza kushambulia kwa kila aina ya silaha, ila Ukraine wakajikakamua na kugeuza kibao.....

Issue mbili hizo zinahitaji ilmu ya dunia kuzielewa, sio ile ya madrassa.
Wewe mpuuzi Wapalestina hawajawahi kuishi kwa amani karibia miaka 50 sasa tangu ardhi yao ilivyovamiwa na walowezi wa kizayuni.
Mwezi june tu hapo wazayuni wametoka kuua zaidi ya Wapalestina 200 na dunia yote imekaa kimya.
 
Haikutambuliwa sababu US said so, unadhani hata hao Israel bila US wangetambuliwa? Hata China inatambulika kama taifa linaloendelea tu sio lililoendelea!! Because US says so.

Swali nimeuliza sababu nashangaa watu mnapinga anayeonewa asipige kelele eti kisa "amelianzisha mwenyewe". Ndio najiuliza kipindi tunasaidia wapigania uhuru kma FRELIMO, MPLA n.k hatukujua walianzisha wao vurumai la kumtoa mkoloni.
Kwa nini wasingewateka tu waisrael badala yake wameua 1200 pamoja na watoto.

Mkuu, kuna upande wa moyo wangu unaona kabisaa Israel ana haki ya kujilinda na kumdhoofisha anayemshambulia.

Lakini kwenye hili la Gaza, ni misscalculations za HAMASA zinaenda kuigharimu Palestina na zaidi ya hqpo kile kipande kinarudi Israel
 
Siyo kwamba wanapigana na dini zingine tu, ila bado wanaongoza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Angalia huko Somalia, Sudan, Yemen, Libya, , Misri, Afghanistan na kwingineko ni waislam tupu ila wanatwangana vibaya. Hawa wavaa kobazi hawa....
Halafu utasikia ohh wabasema uislamu dini ya amani

Uongo mtupu wao kwa wao wanatwangana barabara na majambia na mabomu na marisasi
 
K
Hao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Saudi Arabia ambapo ndio kitovu Cha uislamu Kuna mavurugu??

Wewe umeielewa sana Quran kuliko wao ???
Saudi Arabia hakuna itikadi kali
Ndio maana tunaona wanazidi kubadilika, hadi wanawake wanaangalia mpira uwanjani
 
Duh!
Punguza kisirani mkuu usije ukajilipua Bure!
Yule ni Waziri mkuu wa Israel aliyechaguliwa kidemokrasia
Ndio nasema hao hao waIsrael wamemfungulia mashtaka ya ufisadi na rushwa. Sasa unavyomquote hapo it's as if ni mzalendo au yuko serious kuhusu amani wakati ni obvious ni jizi na wamesema wayahudi wenyewe sio mimi.
 
Sijui unaongea vitu gani, una generalise tu kwani ukisema waislam ni kina nani? Ni sawa na Anglican kuembrace ushoga alafu mtu aseme "wakristo wanapenda ushoga". Why? Umewahi kwenda msikiti gani ukasikia wanashabikia ugaidi?

Wapi nimekosoa? Tafuta nyuzi zangu zote nimekua nikipinga uvamizi wa Urusi. Mimi nachopinga ni nyie mnao support Ukraine kujipambania dhidi ya wavamizi wa Urusi eti mnashangaa Palestine wakijipambania uhuru wao.

Waislamu ni nyie mnaofuata hicho kitabu cha muarabu, na mnachinja watu kisa mumeagizwa, wale msiochinja sio waislamu kamili maana maagizo yenyewe ni bayana.
Sina haja ya kufukua nyuzi ili kukuonyesha ule ulionijibu ukikosoa Ukraine kuipiga Urusi ndani, nilikuona mpuzi tu na kuanzia hapo nakujibu kwa level yako.
 
Hao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Hata Bible mkuu mbona Mungu alimtuma Elia kuua manabii wa Baal zaidi ya elfu 3?

Achilia hapo hata kwenye agano la kale Mungu aliwahi muadhibu mfalme Haggui sababu aliamriwa akivamia wafilisti achinje wote kuanzia binadamu hadi wanyama sema yeye alibakiza ngombe na farasi walionona akaadhibiwa.

So nadhani labda huko nyuma Mungu alikua mkali sana walau sasa tupo kipindi cha neema.
 
K

Saudi Arabia hakuna itikadi kali
Ndio maana tunaona wanazidi kubadilika, hadi wanawake wanaangalia mpira uwanjani
K

Saudi Arabia hakuna itikadi kali
Ndio maana tunaona wanazidi kubadilika, hadi wanawake wanaangalia mpira uwanjani

Kule Saudi watu wamekatwa vichwa sana na kukatwa hata mikono, sema wameanza kubadilika baada ya kuelimika, inapaswa waswahili mnaofuata dini ya hao waarabu na nyie muelimike.
 
Sina haja ya kufukua nyuzi
Then usiongee ujinga, mara zote humu JF nimekua pro-ukraine mpaka nikaitwa kibaraka wa USA so unaponiweka kwenye kundi la hao Russia na Israel nakushangaa sana.
ukikosoa Ukraine kuipiga Urusi ndani,
Wapi nimekosoa naomba Unionyeshe maana unanilisha maneno!!
na mnachinja watu kisa mumeagizwa, wale msiochinja sio waislamu kamili maana maagizo yenyewe ni bayana.
Nikikuwekea mistari hapa ya genocides kwenye Kitabu cha Mwanzo usije kimbia. In fact hata biashara ya utumwa ilihalalishwa agano la kale then unaongea mambo gani haya?
 
Hao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Afu wanaamini watapewa mabikra 70+ daah hii sio dini bali ni ugaidi
 
Hata Bible mkuu mbona Mungu alimtuma Elia kuua manabii wa Baal zaidi ya elfu 3?

Achilia hapo hata kwenye agano la kale Mungu aliwahi muadhibu mfalme Haggui sababu aliamriwa akivamia wafilisti achinje wote kuanzia binadamu hadi wanyama sema yeye alibakiza ngombe na farasi walionona akaadhibiwa.

So nadhani labda huko nyuma Mungu alikua mkali sana walau sasa tupo kipindi cha neema.

Nyie mumeandikiwa kabisa msake kila asiyemuabudu huyo muarabu, mumchinje, na mlivyo wajinga mnateka mabasi na kuhoji kila asiyemuabudu muarabu mnamchinja, mnakuta watu sokoni mnajilipua mabomu yaani kila sehemu ni mavurugu yenu....

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Then usiongee ujinga, mara zote humu JF nimekua pro-ukraine mpaka nikaitwa kibaraka wa USA so unaponiweka kwenye kundi la hao Russia na Israel nakushangaa sana.

Wapi nimekosoa naomba Unionyeshe maana unanilisha maneno!!

Nikikuwekea mistari hapa ya genocides kwenye Kitabu cha Mwanzo usije kimbia. In fact hata biashara ya utumwa ilihalalishwa agano la kale then unaongea mambo gani haya?

Subiri nikipata fursa nitapoteza muda kufukunyua huo ujinga wako wa kukosoa Ukraine hadi nikakushusha sana....

Nimekuambia nyie mna uzombi sana, mnachinja watu kisa mungu muarabu ambaye mliletewa habari zake na waarabu walipokuja kubaka mababu zetu. Binafsi mimi ni Mkristo na japo naamini katika uwepo wa Mungu ila siwezi nikamdhuru yeyote kwa sababu kwa keli huyo Mungu sijamuona kwa macho, wala kumskia, itakua ujinga sana imani tu kwa usiyemuona wala kumsikia halafu unaanza kuchinja watu na kulazimisha wamuabudu.
 
Ni kweli wanayopitia ni makubwa na si ajabu walijua ndicho kitafuata.

Kama uliwahi kuangalia movie za apartheid Africa kusini, walipigwa waliuwawa na waliandamana na walijua kinachofuata ila hawakukoma na mwisho walishinda.

Hii ndio hali ya watu hao
Hapo bado kuna utofauti na suala la south afrika, Wa-south Afrika waliokuwa wanashughulika na harakati za uhuru walikuwa wanapata support kuanzia nchi za kiafrika zilizokwisha pata uhuru, Urusi, Marekani na hata baadhi ya nchi za ulaya, hii ni tofauti sana na support anayoipata palestina. Anapata support ndogo sana kwa nchi zinazomzunguka na hata zile ambazo zipo mbali nae. Kama unategemea siku Palestina itakuja kupata ushindi au Uhuru wake hilo sahau tu, mpaka Bin Mariam anarudi.
 
nikakushusha sana
Hahahhaha unishushe as if Internet points matter!! Yaani fake ID ishushwe hadhi? Kwa akili hizi ndio maana Ruto anawaburuza.
Nimekuambia nyie mna uzombi sana, mnachinja watu kisa mungu muarabu ambaye mliletewa habari zake na waarabu walipokuja kubaka mababu zetu.
Ndio nmekuambia hata Bible mara kibao tu Mungu aliamuru wayahudi wachinje wafilisti tena mpaka watoto na wanawake!! Na walikua wakichinja hawaachi kitu.

Unaposema kuhusu waarabu kuvamia Afrika mbona hushangai wakoloni wa kizungu mfano leopold aliua waafrika zaidi ya million 10 in fact alipunguza population ya Congo zaidi ya 50% na alikua na baraka zote za kanisa.

Kama issue ni ukoloni both waarabu na wazungu walifanya yale yale tu.
 
Nyie mumeandikiwa kabisa msake kila asiyemuabudu huyo muarabu, mumchinje, na mlivyo wajinga mnateka mabasi na kuhoji kila asiyemuabudu muarabu mnamchinja, mnakuta watu sokoni mnajilipua mabomu yaani kila sehemu ni mavurugu yenu....

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Una mindset mbovu sana so all this time unadhani mimi ni Muislam? Kwamba kila anayepinga uonevu lazima aongozwe na mahaba ya kidini?

I'm a Christian 100% but I'm not brainwashed kama nyie washirika wa pastor Ng'ang'a!!

Babu Owino mbona ni mkristo ila katoa maoni objective kabisa
 
Back
Top Bottom