Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #41
Serikali ndio itafaidika ambapo ni wewe na mimi.Boya sana we jamaa utafaidik na nn sasa?
Intelligent person can be seen by their writtingsKama chombo kinaenda zaidi ya km 50/hr ni bora kitungiwe sheria ili tusije sababisha majanga kwa watu wengine, kipewe usajili, kilipe bima nk.
siku hizi naona penalty wamepunguza hadi 15,000 kama kosa likiwa 30,000Hawajalala make wiki jana wamenilamba 30,000 kisa jamaa hakufunga mkanda ni nilimchukua mita moja kutoka pale walipo nikawa sijamcheki kama hajafunga mkanda. Tene siku hizi kila afande ni tajiri, akichomoa waleti yake kama saa mbili za usiku, inachenji chenji nyingi kupita mmiliki wa duka.
Serikali inalijua hilo ndiyo maana imewaachia wananchi wamiliki hivi vyombo bila kusajiliwa na kulipia chochote ili wajikwamue kiuchumi. Pikipiki zote zinazotumia betri zinahesabika kama baiskeli na hazina plate namba, hazikatiwi bima wala hazisajiliwi.
Umegongwa na chombo Cha baridi chenye magurudumu mawilii nyenzo daraja la 3
Ebu wekeni picha zingine hizo za laki tano na mimi nataka ni nunue hata mojà aseh kama sio pikipiki angalau baiskeli sasa nizione .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanatumia nini Mkuu haka kadude mafuta au umeme ubora wake upoje mkuu.View attachment 1420604Hicho hapo, kinauzwa 650,000/- pale mtaa wa Narungombe
Nimekapenda itabidi nikatafute kawe mbadala sanlg mana hakuna kwenda shel we nikucharge tuView attachment 1420604Hicho hapo, kinauzwa 650,000/- pale mtaa wa Narungombe
Zina honi bwasheehazina, na zina spidi kama boxer, posta waporaji, tena watoto wa kidosi wanatumia kuporea wahindi
Ina honi Kama pikipiki ya kawaida
[emoji16][emoji1][emoji2]Kwani kabla ya hizo baiskeli majeshi yalilipwa nini?usiingize maswala ya majeshi wenye issue za baiskel,hivi wabongo why mnaroho ya kwanini hivi?ukiona hivyo basi ukute kuna jirani yako kanunua na wewe huna,unaona gele
Sent using Jamii Forums mobile app
basi zitakuwa hizi za 2020, za zamani hazina, yani za mwaka jana, ila naomba picha ya uliyo nayoZina honi bwashee
Sent from Tapatalk
siyo "gele" ni "gere" , by the way DAr huku ninakaa nyumba ya serikali na sina jirani kapukiu, nipo Mikocheni karibu na Kairuki, ninaibua maswala muhimu kwenye jamii ambayo yanafungiwa macho na walinda sheria.Kwani kabla ya hizo baiskeli majeshi yalilipwa nini?usiingize maswala ya majeshi wenye issue za baiskel,hivi wabongo why mnaroho ya kwanini hivi?ukiona hivyo basi ukute kuna jirani yako kanunua na wewe huna,unaona gele
Sent using Jamii Forums mobile app
Mulemuke unaacha kwenda sheli unaenda tanescoNimekapenda itabidi nikatafute kawe mbadala sanlg mana hakuna kwenda shel we nikucharge tu
Duh! Jino kwa jino
Hizi na aina nyengine nyingi zinapatikana linkall e bikes msimbazi na swahili View attachment 1421502basi zitakuwa hizi za 2020, za zamani hazina, yani za mwaka jana, ila naomba picha ya uliyo nayo