Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #41
Serikali ndio itafaidika ambapo ni wewe na mimi.Boya sana we jamaa utafaidik na nn sasa?
Tumsaidie Rais Magufuli, hili jambo ndani ya mwezi mmoja liwe limefanyiwa kazi kwa hati ya dharura