Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

Kama chombo kinaenda zaidi ya km 50/hr ni bora kitungiwe sheria ili tusije sababisha majanga kwa watu wengine, kipewe usajili, kilipe bima nk.
Intelligent person can be seen by their writtings
 
Hawajalala make wiki jana wamenilamba 30,000 kisa jamaa hakufunga mkanda ni nilimchukua mita moja kutoka pale walipo nikawa sijamcheki kama hajafunga mkanda. Tene siku hizi kila afande ni tajiri, akichomoa waleti yake kama saa mbili za usiku, inachenji chenji nyingi kupita mmiliki wa duka.
siku hizi naona penalty wamepunguza hadi 15,000 kama kosa likiwa 30,000
 
Serikali inalijua hilo ndiyo maana imewaachia wananchi wamiliki hivi vyombo bila kusajiliwa na kulipia chochote ili wajikwamue kiuchumi. Pikipiki zote zinazotumia betri zinahesabika kama baiskeli na hazina plate namba, hazikatiwi bima wala hazisajiliwi.

Haki na wajibu, unataka upite kwenye lami siyoilipia?
unataka taa za barabaran usizo lipia?

Mimi mwenyewe ninayo ya mwanangu Chacha lakini hapna, lazma tulipe
 
Ebu wekeni picha zingine hizo za laki tano na mimi nataka ni nunue hata mojà aseh kama sio pikipiki angalau baiskeli sasa nizione .

Sent using Jamii Forums mobile app
A.jpeg
Hicho hapo, kinauzwa 650,000/- pale mtaa wa Narungombe
 
Kwani kabla ya hizo baiskeli majeshi yalilipwa nini?usiingize maswala ya majeshi wenye issue za baiskel,hivi wabongo why mnaroho ya kwanini hivi?ukiona hivyo basi ukute kuna jirani yako kanunua na wewe huna,unaona gele



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji1][emoji2]

Sent from Tapatalk
 
Kwani kabla ya hizo baiskeli majeshi yalilipwa nini?usiingize maswala ya majeshi wenye issue za baiskel,hivi wabongo why mnaroho ya kwanini hivi?ukiona hivyo basi ukute kuna jirani yako kanunua na wewe huna,unaona gele



Sent using Jamii Forums mobile app
siyo "gele" ni "gere" , by the way DAr huku ninakaa nyumba ya serikali na sina jirani kapukiu, nipo Mikocheni karibu na Kairuki, ninaibua maswala muhimu kwenye jamii ambayo yanafungiwa macho na walinda sheria.
Nimekugusa panapo maana unayo hii pikipiki na haina namba, tutazisajili tu, kama wamachinga tumwwasajili hapa ytutashindwa nini?
 
mi nashangaa watu wanao sapoti huu uzi.
Huu ni uchawi na roho mbaya.watu tunakamuliwa kila sekta.watu wanatafuta unafuu wa maisha bado mnatamani tena wakamuliwe hata pasipo kamulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom